Nalia nikimaliza kufanya mapenzi


Mie naona hilo la pili ndio litakuwa linalomliza maana unakuwa unawaza je huduma imefurahiwa au ndio kuonjwa na kuachwa hapo
 

Kama ni kwenye ndoa halali wala usilie maana sio dhambi, ila kama unazini endelea kulia na kusaga meno.
 
Una ugojwa unaoitwa lawalawa. Muone Dr bigwa wa kina mama
 
ha ha ha inategemea na ntu na ntu mkuu wengine mpaka zile zenye 40%alc mkuu ndiyo utatubeba tena kama maji amna kama yapo forget

hahaha itabidi nifiche maji siku hiyo... ka mambo yenyewe ndo haya!!!! hzo 40 alc hyo match yake sipati picha
 
Unalia kwamba ...unasikia Utamu?

Unalia kwamba..unaumia?

Unalia kwamba hujamzoea aliyekuliza?

Unalia kwamba...Umekunwa vizuri? Au

Unalia kwamba...?
sina jibu sahihi ya nini kinachoniliza.... ndo mana nikasema sijui kwanini nalia, yani inatokea tu automatically machozi yananitoka, na wala huwa siumii, maybe utamu.... na kama ni utamu kwa nini nikishamzoea yani nikifanya nae mara 4/5 hivi naacha kulia? na utamu unakua ule ule au unazidi...
 
mbona huu uzi page zinaenda haraka hivi...kuna nini hapa???
 
Unalia yaani machozi kabisa au?
Ni unakua unajutia ulichofanya?

Tafuta mume
kumbe watu wanaliaga maji? nalia kabisa mpaka kwikwi! hebu nielekeze wanakowatafutia hao waume?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…