Nakwenda kubadili Jina soon.

Pushpa ndo nini na surya ninin ili tuweze kukushauri.. ila nibora ukajiita suhayra hii inamaana kwa sisi waislam🙌🏿
 
Asili yake ni Sanskrit.
Hiyo niliyokupa ndio maana yake.
Surya maana yake jua
Pushpa maana yaje ua au maua.
Ebu jaribu kuandika hivi "the meaning of flower spiritual. Then search

Pia utajua kwanini Mond anajiita simba 🦁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…