Nakusudia kumshtaki baba yangu

We umejuaje? Ushawahi kulaaniwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimjibu kuwa unajua nilipo?
Unajua nakula nini?
Alikaa kimya na alibadilisha maongezi na kusema kuwa alikuwa ananishirikisha nisije kusema kuwa sikutaarifiwa kuhusu ndoa na Michango..... Hii dunia acheni tu! I hope tutafika mwisho.
Bora ulivyoamua kukaa nao mbali asee!

Endelea kupigania life lako one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana lakn kunakitu hakiko sawa kwa mzee na ni swala la muda mlefu sana kwa maelezo yako.

Sent using mijikamimi
 
We umejuaje? Ushawahi kulaaniwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utajua kupitia Roho iliyowekwa ndani yako! wewe ni roho na yeye babako ni roho! iliyokutoa wewe! km mama alichepuka na baba hakujua, laana ipo au km alijua kuwa mkewe kachepuka akapotezea wakaishi hakuna laana kwa mtoto hapo!

Laana haikupati, ikiwa Baba alidharau uungu wake, kwa maana kuwa hakuchukuwa hatua kali dhidi ya mke wake alipojua kuwa mke wake amechepuka! na kupata kiumbe km wewe haramu!

Ikiwa ni pamoja na kumpasha ukweli mke wake huyo, kuhusu kosa alilofanya la kuleta kiumbe haramu ndani, na matokeo yake, kumuacha mke huyo kabisa na kuoa mwingine! ukilifumbia macho hilo, toto linaweza hata kukupiga! halioni tabu!
 
A very Irresponsible parent.
 
Hiyo huna laana, mpeleke mahakamani! Huyo baba hafai. Usikubali kupoteza milioni 16
Kwa aliyoyaongea yote hapa unadhani ni 16mil tu mkuu?
Nami Naunga mkononi hoja, mengi ameongea. Jamaa atafute mwanasheria mzuri ampeleke mzee kwenye wanaweza kutoa maamuzi
 
maana nahisi kumtwanga hata risasi huyu mke wake
tuliza akili usije fia jela ukaletea shida familia yako na mabaharia/wajuba wajichukulie mkeo na kula mali ulizotafuta kwa jasho kiulaiiiini kabisa.
 
Nyie huyo Mzee si mnamdekeza kata mirija ya hela kwake
Hakikishen vitu mnaviweka katika mazingira haviwez kuuzika hapo akili itamkaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I really feel for you!
 
Kwa nanma nilivyo elewa huyo mzee wenu ni wale ma tapeli wa mjini na ndio mana alikua hataki kuwaonyesha Mali zake kuhusu kumshitak sikushaur kufanya hivyo ila kaa nae mbal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me navyoona mzee hana dhiki ila **** ndio inampeleka mchakamchaka..naona 'amyooshe' kdg ili atikisikike then aachane nae,akimwacha kbs ataendelea kumchezea tu maana kuna mambo mzee lzm atakuwepo huko mbele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…