Pond skarter
Member
- Sep 17, 2019
- 22
- 36
DuhMkuu ukipata mtu akamroga awe mwehu utakubali, nikusaidie kufanya hivyo ili asiendelee kusumbua.
Bwana we[emoji2]ukutulia nitafute na mimi[emoji2088]Was[emoji2][emoji2]nilikuwa nasubiri useme chochote, hakika nimepona maradhi yangu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndgu siwezi kuwa mpumbavu namna hii, katelekeza familia miaka zaidi ya 6 nahangaika kusomesha watoto wake bado kuna mengi nimesahe yeye ameenda kuchukua mwanamke ana watoto wakubwa wa wanaume wenzake kamjengea nyumba nzuri kwa jasho langu na miradi huku wanae, nimuache Mali zangu zifaidishe ukoo mwingine huku wadogo zangu wanateseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa wazazi ndio wanaosababisha watoto wao kufa masikini kwa sababu ya vinyongo, mali ya mtoto wanaamini ni ya wazazi. Mungu kaniumba tofauti sana.... Hao watoto wangu (not more than two) watakapozaliwa wataenjoy sana maana mshua najielewa.Mzazi mtu wa kuheshimika sana, ujue hata ukimkosea mama akipiga ziwa chini chako kimeisha,
Waheshimuni tu as siku wanaondoka unabaki huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akipiga hilo ziwa atakuwa amepata nini?Mzazi mtu wa kuheshimika sana, ujue hata ukimkosea mama akipiga ziwa chini chako kimeisha,
Waheshimuni tu as siku wanaondoka unabaki huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao ndugu zako ni wanawe pia kaka, achana nao.Hapa ndgu siwezi kuwa mpumbavu namna hii, katelekeza familia miaka zaidi ya 6 nahangaika kusomesha watoto wake bado kuna mengi nimesahe yeye ameenda kuchukua mwanamke ana watoto wakubwa wa wanaume wenzake kamjengea nyumba nzuri kwa jasho langu na miradi huku wanae, nimuache Mali zangu zifaidishe ukoo mwingine huku wadogo zangu wanateseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu imekaaje hiyo?Kesi yako haitakuwa ya kwanza, kuna ambayo naifahamu, watoto wanashindana na baba yao ambaye baada ya mama yao kufariki kaamua kuuza mali za mama yao ambazo wao ni warithi.
Aisee!
Pole mkuu.
Hiyo si bure itakuwa ni nguvu ya ile kitu katikati ya viungo vya kujongea.
Aliileta hii stori kwa ID ipi?Manzile,
Cha kwanza Kama kumbukumbu zangu zipo fresh sio Mara ya kwanza kuleta hichi kitu. Je, Mara ya kwanza ulimalizana nae vipi?