ndonilivyo
Member
- Sep 9, 2022
- 33
- 39
~ Mchele kilo 3,000, ukila robo inakuhitaji 5kg kwa mwezi ambayo ni sawa na 15,000 (siyo ulaji wa kila siku).
~ Unga wa ugali kilo 2,000, unahitaji kilo 5 - 10 kwa mwezi ambayo inagharimu 20,000 kwa mwezi.
~ Mafuta ya kupikia 1litre 6,000 - 9,500.
~ Bajeti ya mboga na viungo vyake 3,000 kwa mwezi 90,000.
~ Gas 25,000 - 28,000
~ Nauli 2,000 - 5,000 KWA mwezi tufanye 100,000.
~ Expenses 100,000 eg sabuni, mafuta ya kupaka, umeme, maji n.k.
Hayo ni matumizi ya mtu bachelor, hapo hajaumwa wala kuhonga, hajatuma pesa nyumbani wala kununua nguo, hujamwagilia moyo, hasomeshi, yaani hayo ni maisha basic kabisa ya yeye kusavaivu.
Mwisho wa mwezi anakunja 300,000 - 500,000 mshahara basic kwa kampuni nyingi hapa mjini Daslamu bila kodi wala makato mengine.
Ni kipato cha machinga, fundi selemala, mwashi, cherehani, garage, dereva n.k, baada ya kutoa matumizi ya office.
Eti jamani, mnatuona tuliokuwa Daslamu tunafaidi eeh?