Nakusihi NILHAM RASHED

ha ha ha ha......haikuwa riziki,huyo wa kwako

Ningejuaga,usingekuwa unaongea nae sasa......lol

hahahahah lol
ooohh dear wanichekesha
mie nimesha chukuliwa na TF my dear ..
tangu niingie hamu ndani tupo pamoja..
ila tunakurufushana hapa na pale lakini hatuachani hahahahah lol

VOR napenda kuchat nae tu hahaha lol
hopeful Klorokwin, Uporoto, na Magulumangu hawata ona hii ya you tube
maana ndo wajumbe waku wa TF hahahah lol

mie nina wiselady ndo maana sijali sana lol
 
guardian angel leo kanigeuka balaa hili!

sasa ngoja nikuchekeshe
nilikuwa kazini naibia muda
chooni kuingia kweye JF via mobile
mie nikadhani ile thread ni yako
duuhh kuja kugundua nimeharibu mambo
ka wataka kujua ukweli rudi nyuma soma poster zangu dear
 
We dada Nilham nakuopmba tafadhali uamue moja kati ya Hashycool na Med manake hawachelewi kushikana mashati. Na unapoendelea kukaa kimya unazidi kuwa umiza hasa Shossi. Sema kitu watulie!
 
hahahahah lol
ooohh dear wanichekesha
mie nimesha chukuliwa na TF my dear ..
tangu niingie hamu ndani tupo pamoja..
ila tunakurufushana hapa na pale lakini hatuachani hahahahah lol

VOR napenda kuchat nae tu hahaha lol
hopeful Klorokwin, Uporoto, na Magulumangu hawata ona hii ya you tube
maana ndo wajumbe waku wa TF hahahah lol

mie nina wiselady ndo maana sijali sana lol

I wish i could turn back the days......lol
 
Shossi bwana . . . . daaah, kaanza na moto wa kifuuu balaa
Ingekuwa kwa mwanaume mwingine ningeweza kusema utaibuka kidedea
Ila kwa hashycool, aaaaaaaaah no way aiseeee
Yaani hapo hata ukioga kwa maji moto, ukajisugua kwa dodoki kavu na sabuni ya mwarobaini, MJINI HUENDI KABISAAAA
 
we ndo mchizi waaaangu!...l.o.l
 
NILHAM RASHEED na HASHYCOOL naomba niwaombe radhi kwa kutotokea kuwaombea dua ktk "ndoa" yenu tangu nilivyoahidi majira ya saa tatu asubuhi, mwenzenu huku ninapokaa Dowans walianza kazi nikashindwa kujumuika nanyi
 
Shossi usikate tamaa kaka
Rahman anauona moyo kaka
InshaAllah atakujibu kaka
Uwe na imani uzidishe pia dua

Kwenye zuri sharti ukaze buti
Nilham ni msichana mzuri
Wapo wengi wanauona huo uzuri
Uwe na imani uzidishe pia dua

Kina CPU hawakosekani maishani
Wapo kukatisha tamaa unayejitahidi
Ukiwapuuza utasogea mbali

Sijui kwanini wamewarudishia huo umeme,uko eneo gani tena??? sikupendi kabisa CPU..........i hate you with passion.....:laugh::laugh:
 
Shossi usikate tamaa kaka
Rahman anauona moyo kaka
InshaAllah atakujibu kaka
Uwe na imani uzidishe pia dua

Kwenye zuri sharti ukaze buti
Nilham ni msichana mzuri
Wapo wengi wanauona huo uzuri
Uwe na imani uzidishe pia dua

Kina CPU hawakosekani maishani
Wapo kukatisha tamaa unayejitahidi
Ukiwapuuza utasogea mbali
Uwe na imani uzidishe pia dua

:ranger:
 
Shossi usikate tamaa kaka
Rahman anauona moyo kaka
InshaAllah atakujibu kaka
Uwe na imani uzidishe pia dua

Kwenye zuri sharti ukaze buti
Nilham ni msichana mzuri
Wapo wengi wanauona huo uzuri
Uwe na imani uzidishe pia dua

Kina CPU hawakosekani maishani
Wapo kukatisha tamaa unayejitahidi
Ukiwapuuza utasogea mbali
Uwe na imani uzidishe pia dua

you deserve the bhest!......
 
Back
Top Bottom