Nakusihi NILHAM RASHED

Shossi kaka yangu mi penda wewe sana
Usiwe wa kwanza kunirudisha nilikotoka
Msinitie mdomoni kwa yaliyoishapita
Najitahidi kusahau maisha yangu yaendelee


Najua mwaweza pendana tena sana
Si lazima mnizungumze ili iwe sawa
Waweza sema tu ukaeleweka bila nitaja
Najitahidi kusahau maisha yaendelee


Chonde Chonde kaka yangu
Nina moyo sina jiwe babu
Nisaidie na niombee kuweza sahau
Najitahidi kusahau maisha yaendelee
 
Shossi kaka yangu mi penda wewe sana
Usiwe wa kwanza kunirudisha nilikotoka
Msinitie mdomoni kwa yaliyoishapita
Najitahidi kusahau maisha yangu yaendelee


Najua mwaweza pendana tena sana
Si lazima mnizungumze ili iwe sawa
Waweza sema tu ukaeleweka bila nitaja
Najitahidi kusahau maisha yaendelee


Chonde Chonde kaka yangu
Nina moyo sina jiwe babu
Nisaidie na niombee kuweza sahau
Najitahidi kusahau maisha yaendelee

Labda kusamehe na sio kusahau
Mimi sina mengi nimeishiwa nahau
Machungu yanishika wewe kujitoa
Siepndi huzunika machozi kutoa..........................
 
Mvuvi anapovua, samaki kukusanyika,
akikosa anajua, leo Mungu Hakutaka,
hawezi kujisumbua, kununa kukasirika
Lazima kitakufika, kile kilichoandikwa.

Mkulima hushtushwa, shamba moto likiwaka,
ajue akiulizwa, kama ametoa zaka,
asiseme kasakamwa, au mkosi umefika,
Lazima kitakufika, kile kilichoandikwa.


Biashara ikifanywa, na ukifungua duka,
kama hukufanikiwa, uache kunung'unika,
pengine hudhulumiwa, watu kwako hupunjika,
Lazima kitakufika, kile kilichoandikwa.


Yote yamesajiliwa, Mungu Ameshaandika,
kalamu kuinuliwa, wino umeshakauka,
kudura imeshapangwa, hakuna kubadilika,
Lazima kitakufika, kile kilicho andikwa.


Tangu bado kuzaliwa, vyote vimeandikika,
riziki imegawiwa, na ajali kadhalika,
utajiri ukipewa, usisahau sadaka,
Lazima kitakufika, kile kilicho andikwa.
 
Mvuvi anapovua, samaki kukusanyika,

Tangu bado kuzaliwa, vyote vimeandikika,
riziki imegawiwa, na ajali kadhalika,
utajiri ukipewa, usisahau sadaka,
Lazima kitakufika, kile kilicho andikwa.


Kama alivyotukutanisha tukajuwana
Akipenda Rahmani InshaAllah tutaowana
Yailahi Mwenyewe Subhana
Akitaka ndoa ndoa hufana
Nitawaalika ndugu na jamaa kadhalika

Asee namiss Abdallah Issa kama kuna mtu ananyimbo yake ya InshaAllah tutaoana anibandikie hapa!

Zimeandikwa mbinguni ndoa zooote na Rabana
Akipenda Rahmani InshaAllah tutaoanaaaaa
 
Ooooohhhhh dear

Nipo mashakani AD nisaidie ndugu
Kila mtu anawake wengine wawiliwaili
Nisaiedie nimpate Nilham awe wangu mwali
Hata Mungu kaumbe ndege wawili wawili
Maisha yanisakama kama n'lopaliwa na pilipili
Nisaidie rafiki n'takulipa hata milioni mbili...................
 
hehehehehe hashycool vs mohammed ...... ngija nikanunue wardi nianze kulichambua moja moja hash love me mohammed loves me wa mwisho ndio ntamfikiria mi naogopa kupigwa bun mwenzioooo...

Mie mwandiko wako unaniuwa
Bora ukachume ua
Kama ulivyosema
Maana nashindwa hema
Na sijui ninachosema

Ahibak moooot ya Nilham
 
Halafu ukaja shitukia ni dume lenye mkia mreeeefu sijui utatujia kutujuvya tena? Maana picha na majina ya JF sio vya kweli kama vinavyoonekana.
 
:thinking: :A S 39: :A S-confused1: :confused2:

Now more than ever we need singles forum.......
 
Kama alivyotukutanisha tukajuwana
Akipenda Rahmani InshaAllah tutaowana
Yailahi Mwenyewe Subhana
Akitaka ndoa ndoa hufana
Nitawaalika ndugu na jamaa kadhalika

Asee namiss Abdallah Issa kama kuna mtu ananyimbo yake ya InshaAllah tutaoana anibandikie hapa!

Zimeandikwa mbinguni ndoa zooote na Rabana
Akipenda Rahmani InshaAllah tutaoanaaaaa

Kati ya nyimbo ninazozipenda sana,am glad kaka nawe waupenda.....

Mrefu mno unachukua muda ku-upload..........




 
Mie mwandiko wako unaniuwa
Bora ukachume ua
Kama ulivyosema
Maana nashindwa hema
Na sijui ninachosema

Ahibak moooot ya Nilham

nimekuomba msamha hata hukunijibu...
kwenye thread ilioandikwa "wapendwa mnisamehe bure"
haya kama hutaki msamaha wangu
haina neno...
 
hehehehehe hashycool vs mohammed ...... ngija nikanunue wardi nianze kulichambua moja moja hash love me mohammed loves me wa mwisho ndio ntamfikiria mi naogopa kupigwa bun mwenzioooo...

kwa upande wangu my dear
mie naona usi make any desicion now..
lala, nenda town kapate massage
relax vya kutosha..
halafu

chukua ile thread ya HashC na hii ya Mohammed

halafu chambua kama karanga ..
follow ur heart my dear
wa weza mchagua mmoja kati yao
au wa weza usimchague yeyote my dear ..
ni PM kama wataka maoni zaidi
hahah lol
 
Back
Top Bottom