Nakusihi NILHAM RASHED

Mhn huyu jamaa laghai...asije akakulaghai kama alivyotulaghai kuhusu mzee Madiba. Ohoooooo Shauri yako. Hivi alisha omba radhi?

Akishakupata kwa ulaghai wake, hata hilo hijab linalokupendeza bibie Nilham utaliona zito.
 
Mhn huyu jamaa laghai...asije akakulaghai kama alivyotulaghai kuhusu mzee Madiba. Ohoooooo Shauri yako. Hivi alisha omba radhi?

Akishakupata kwa ulaghai wake, hata hilo hijab linalokupendeza bibie Nilham utaliona zito.

Nilham habibty utayasikia mengi si unajua mahasidi hawapendi kuona mtu akipendwa? Achana nao njoo kwa mtoto wa kitanga nikupe mapenzi motomoto si unajua Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa?
 
Nilham sitaacha kusubiri maadam nakupenda
Subira huleta kheri huvuna mema matunda
Muhibu nina kuambia nisikize kwa makini
Sitachoka kungojea kukusubiri muhisani


Sitaona udhia nikajidhiki moyoni
Huini raha naumia na kuhisi ni duni
Itakuja siku moya tatuweka ziewoni
Muhibu nakwambia nisikize kwa makini
Sitachoka kungojea nitasubiri muhisani



Japo siku zinapita na hamu yako kuzidi
Nitapunguza mashairi na moyo uwe baridi
Utakuja kuniita, name hunu nifaidi


Sitafanya ghadhabu niingie hasirani
Lolote ni taratibu nitakula kwa makini
Nimekuwekea zababibu sitampa mtu thani


Nitakutunza nafsi nikuambiayo ya ni kweli
Usiwe na wasiwasi wakati ukiwasili
Utalila na nanasi, utamu washinda asali
 
Basi kama alivyonikutanisha na Nilham tukajua InshaAllah tutaowana...........

Ikiwa mola amaendika tutaowana
Kama alivyotukumbanisha tukajuana
Yailah peke rabukah
Katukuka ilhali Subhannah
Akitaka ndoa itafanyika

..................................
....................................
Si hoja kusalitika
Mioyoni tukapendena
Shote Rahbi awe anataka
Tumuombe sana

Zimeandikwa mbinguni ndoa zote na Rabanah
Akipenda Rahman InshaAllah tutaowana
InshaAllah tutaowana

Hebu kuwa na subira
Muachie Subhanah
Yavuta heri subira
Hee raha zina maana

Alojua siri ya hakika
ni mmoja pekee subhanna
na ndoa keshaziandika
na wafuataji hapana

Siku na saa ikifika
pete sisi tutavalishana
Kwa radhi zake Rabukaj
Tuishi na kusikilizana

Watacheka watocheka
Na kununa watonuna
Miadi itakamilika
Tuliyoahidiana

Zimeandikwa mbinguni ndoa zote na Rabannah
Akipenda Rahman InshaAllah tutaowana
Inshallah tutaowana

Alojua siri ya hakika
Ni mmoja peke Subhanna
Na ndoa keshaziandika

Usijichoshe akili
utaumia kwa fikira
tumuachie jalali
Muweza alio na kudra

Ninajua wateseka kweli
kwa shauku na wingi wa hamu
namimi nakutaka kweli
uwe wangu muhadhamu

Hili jambo sahali
Akilibariki karimu
kama nia zetu safi kweli
mola atalirehemu

U wa moto usijali
huba sitokudhulumu
Yailah jalia jalali
Tusaidie karimu

Zimeandikwa mbinguni
ndoa zote na Rabannah
Akipenda Rahman
Inshallah tutaowana


Nimesahau sehemu ntingine but 96% ndo maneno yake kaka.....wewe tu.
 
samahani kwa kuuliza
je wewe ulifanikiwaga kipindi kile ulipokuwa unatafuta dear??
Still Single...., ila kuna siku tulikubaliana kwamba haya mambo unaacha maji yanafata mkondo wake... feelings zikija automatically moyo utakubali, kutakuwa hakuna hata haja ya kuuliza... (na kama love ni reciprocal unapenda na wewe unapendwa alafu you have got things in common) that will be marriage made in heaven...., Na kwa vile this is a rare event..., when am ready i will just get someone, who really loves me, even if I dont, I will learn to love her....,
 
we jinga kweli,yaani umezunguka kote kariakoo mpaka manzese umekosa demu wa kuomba penzi unakuja tongoza hapa VALUE U R SELF bana unajiaibisha tuu

Mkuu you can find love anywhere..., hapa kwanza wanajuana kwa tabia / na hobbies..., mengine yatafata... this is just a first step... breaking the ice....
 
kazi kweeeli, kila la kheri bro ila kwani ww umependa avatar yake au? maana kama avatar ndo yeye alivyo hata mm nakubaliana nawe la nakushauri muonane kwanza hata kwa soda then utaamua from there. Passport size sio full body so jiandae for suprises pia.
 
hutaki kuni jibu ae..
haya ngoja niondoke..
na nyuma siangalii..
kwani naogopa ntakacho kiona..

Nikujibu nini my dear? Sijaona swali lako ngoja nicheki page by page............... niliona unataka Nilham akuPM umpe ushauri plz usinimwage nakutegemea wewe ndo meneja wa kampeni yangu.....
 
Back
Top Bottom