Nakushauri usioe

Nakushauri usioe

Yaani laiti kama wanawake tungesema tusiolewe kwa sababu ya maovu ya wanaume basi sidhani kama duniani kungekuwa na ndoa!! Ila nashangaa eti ninyi wanaume ndiyo mnalalamika kuliko wanawake!!
 
Hayo mahusiano yalikuwepo before ila kipato chako ndio kilifanya yawe ya siri...
 
Kuna wimbo wa DIZASTA VINA-NDOANO
nadhani unatakiwa uende na huu uzi kabisa..
Wanaotaka kuoa pitieni hii nyimbo.
 
Nyie endeleeni kushupaza shingo tu . Tunawaambia hawa viumbe ni devil in fresh ila hamwelewi mnaendelea kufuga nyoka majumbani mwenu . Eti kuoa . Endeleeni kuvuna betrayal tu . Me mke wangu ni pesa tu . I don't need no bitch into my life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom