Nakushauri usioe

Nakushauri usioe

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,305
Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK.

Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya ulinzi. Tuna watoto 2. What can I do? Hata usipoficha uso wangu.

Nishavurugwa posti tu Mdogo wangu.

Nakushauri usioe
 
Yan unatushauri hivyo ww kama nani sasa,afu unadhani wanawake wote wapo hivyo?
 
Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK.
Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya ulinzi. Tuna watoto 2. What can I do? Hata usipoficha uso wangu.
Nishavurugwa posti tu Mdogo wangu.
Nakushauri usioe
Faida za kuoa ni nyingi kuliko faida za kutokuoa. Watu wenye busara wote wameoa
 
Hii tabia ya mtu mmoja kakosea unahusisha na wengne sijui imetokea wapi.
Wewe unadhani kama ulikosea na wengne watakosea?
Tujitahidi kuwa positive mindset
 
Kwa kukuonyesha nilivyo kiburi na kwamba ushauri wako ni wa kupuuzwa, mimi ninaoa muda si mrefu kutoka hivi sasa. Ndoa pekee ambayo naitumia kama kielelezo kwangu ni ya wazazi wangu si ya watu wengine.
 
Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK.
Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya ulinzi. Tuna watoto 2. What can I do? Hata usipoficha uso wangu.
Nishavurugwa posti tu Mdogo wangu.
Nakushauri usioe
Dah! Pole sana mjomba

Mbona nilikuwa na ndoto za kuoa mwakani!?

Post za hivi zinaniogopesha sana. Sijui ni mimi mwenyewe tu!
 
Unakuta anatushauri tusioe halafu hajui sababu ya mke wake kuchepuka!! Kama tatizo ni wewe na sisi tuachane kuoa!
 
Mzee mengi na uzee wote ule aliona sio vema kuishi peke yake akaoa

Wewe ni nani uniambie nisioee

Kwanza polee kwa yaliyokukuta mkuu nkutakie maisha mema ya usingle father
 
ulipokuwa kazini hukuyajua hayo
ukaweka vimada kwa mshahara wako wote
sasa shemeji bila ya kulinda kibarua ulitaka naye aachishwe kazi mkae wote nyumbani? mtakula nini na watoto wataenda shule.
Kesho atapewa gari bianafsi ili aongeze penzi km mwanamume lichome moto ndipo utajua kajengewa na nyumba
iliyopo wewe mpe talaka na mimi nikaoe siwezi kuacha si ya leo haya
 
Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK.
Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya ulinzi. Tuna watoto 2. What can I do? Hata usipoficha uso wangu.
Nishavurugwa posti tu Mdogo wangu.
Nakushauri usioe
Kuna mwingine alikua kwenye ndoa miaka 15 akawa analiwa na dokta wa chuo... Uzi uko humu.

Cc Bazazi
 
Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK.
Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya ulinzi. Tuna watoto 2. What can I do? Hata usipoficha uso wangu.
Nishavurugwa posti tu Mdogo wangu.
Nakushauri usioe
Weka mtego Mkuu umukamate huyo boss akamue hela hela nakufilisi hiyo kampun
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom