NAKUPENDA, USINIEKE FRIENDZONE

NAKUPENDA, USINIEKE FRIENDZONE

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,444
Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..

Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"

Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.

Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye

Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
 
Mtengenezee mazingira hatarishi
 
Mtengenezee mazingira hatarishi
Aisee huyu dem anabadilika sana.. Sijui kwanini hata alainiki.. Geto anaweza kuja kabisa na usimfanye chochote.... Adi ninahisi itakuwa hana hormones za kike
 
Wewe ndio mzembe. Na ukiendelea na uzembe wako atakutangaza hausimamishi dudu ya yuyu
 
Kata mawasiliano labda atakusoma.

Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..

Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"

Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.

Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye

Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
 
Kama sio anakuepusha kukuangamiza na gonjwa hatarishi basi huenda ni shemale hivyo anakusogezasogeza ili siku akikuweka kwenye target yake hutoki
Yani mkuu uko kwenye mawazo yangu kabisa.. Maana huyu demu gani anakataa kila mwanaume... Yani nishamuona kama hana hisia vile .. Maana najaribugi kumgusa sehemu nyeti lakini hashtuki
 
Ndiyo unampenda na yeye hakupendi kimapenzi. Kwanini usikubaliane na hali na urafiki wenu ukaendelea.?
Hanipendi kimapenzi mbona ananifanyia vitu vyote ambavyo wapenzi hufanyiana.. Kasoro kugegedana
 
Back
Top Bottom