nakupenda, unae,nipe nafasi

Mwambie una ukichaa na ukikupanda basi aliekuwepo karibu anamalizia kwa kuitwa marehemu, kwa kusisitiza tu pia mwambie wamekupeleka mpaka India lakini tiba imeshindikana. Halaf malizia kwa kumwambia, hata kikinipanda na ikatokea bahati mbaya nikakuuwa honey ujue nakupenda sana.

kes solved.
 
Kimbia faster acha kusikilizia, bom hilo m2 wangu licje kukulipukia alafu baadaye majuto nalog off.
 
Lengo lake sio kuolewa kwani nshamweleza nina gf amesema yuko tayari kuwa na mimi hata kama ninae.

hapo kazi imekwisha. Mwambie unampenda sana gf na haupo tayari kumsaliti.
 
hivi kuna mwanaume mnywaji ambaye hajawahi kupenda baa medi???
hakuna mnywaji anayeweza kukwepa ili sio lazma upende au kutaman wote ila atleast mmoja lazma akulenge,na huyu mshakj kwa maelezo yake inaonekana alishammega na anashindwa kusepa
 
nimeshindwa jinsi ya kumkwepa huyu dada.
Mrembo kweli anasema kanizimia ,ila ni bar maid(kwangu sio kosa ila perception ya wanaonizunguka),bar yenyewe iko karibu na home ,nisipoenda atakuja kuniulizia home au kunipigia simu. Sitaki ku-do nae hata mara moja coz utakuwa mwanzo wa mazoea mabaya
Pili nimemweleza nina gf ingawa yuko mbali lakini bado kakomaa na mimi.
Simuombi ofa ya vinywaji ila akiniona tu nimefika bar tayari analeta. Nashindwa kukataa cz anaweza kuumia lakini namwonea huruma expenses anazo-incur kwangu cz chemistry haipo .
Nimeshawahi kuwa katika hali kama yake kwa binti mmoja for two yrs halafu mwisho wa siku nikaambulia za mbavu,najua maumivu niliyoyapata ctaki nimuingize binti wa watu ktk maumivu hayo.
Nitumie njia gani ya kistaarabu ili aweze kunielewa ,ninavyoandika thread hii binti amepiga simu mara 4

Usimkwepe ndo mwanzo wa kukukopesha vinywaji hapo bar
 
naamini huna sababu ya kufikiria sana kama mtu unaamini humhitaji wewe mwite mkalishe chini na umweleze ila pia ni vyema kutokuwa na mawasiliano nae ya karibu maana mkiwa karibu kuna mambo lazima yatakuvuta kwake
 
Mwambie kama ulivo twambia hapa, lazima ataelewa. mbona sisi tumeelewa?
Mathieu (5:37) inasema NO should mean NO. sio unasema NO, huku bado unaenda bar anapotumika na kunywa bia yake. Akija home unampokea na unamwambia GF yuko mbali, unapokea sim zake etc. NO gani imelegea hivo kaka? Be polite but tough.

yaelekea mpwa weye sitaki nataka; biya umnywee nanihinooooooo umnyime unaona uko fea kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom