Nakupenda seniorita precious

Nakupenda seniorita precious

Abel james

Senior Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
103
Reaction score
8
Baada ya upweke wa muda mrf kwangu,nimejikuta kumpa mpenz wa roho yangu,today nimeamua kumurusha live wana jf mmjue,anaitwa seniorita precious,nashukuru sana jf kwan kupitia nyie nimempata mchumba mzuri wa sura,tabia,na adabu,na nampenda na nimeridhika nae,mabacherol msikatishwe tamaa na viwewe wachache ambao walishatendwa na hawana hamu ya mapenzi tena,sitak nieleze sana ila nampenda sana seniorita,nae ananipenda,this is special to my everything mumy seniorita precious,and friends wenye encourageble coments,I LOVE YOU SENIORITA PRECIOUS
 
@husynino ndo umebadili jina kuwa senyorita?
 
Za ivi umu ndani zinaishiaga mtifuano mara oooooh ungenijulisha mapema mimi sipendi utani.
Kama ni kweli hongera chifu
 
hongera sana,umetisha ku join JF 12nd June 2014 na kuopoa baada ya mwezi mmoja tu kweli unahitaji pongezi
 
Tarehe 19/07/14 uliweka tangazo la kutafuta mchumba, baada ya siku tatu tu unasema huyu senorita ni mzuri wa tabia nk.sidhani kama kwa siku hizo umeweza kuzijua tabia zake vyema kama unavyosifia labda kama mlikuwa mnafahamiana kabla. Vinginevyo huo ni muujiza na kama ni kweli basi hongera sana
 
too fast chini ya wki 2 toka tangazo litoke mchumba amepatkana na umemjua as if umekuwa nae kwa miaka!! inakuwa vema na raha ukipata na ukaja kutoa mlishonyuma lakin huu wa leo naona kama ni wa kubuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom