Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,640
- 9,263
Mapenzi haya namshukuru Mungu nimepata mke mzuri na wife material baada ya siku mnapigana chini. Hata mimi nilishawahi kusema hivyo hivyo kama wewe na mapenzi yalikuwa moto moto. duh! sijui hata ilishaje. Kuna mwanake mmoja yeye alikuwa anatupia picha ya jamaa yake facebook baada ya siku napita kwenye account yake sioni hata picha ya jamaa hata mmoja.Siwezi kuweka picha ya mkewangu mtarajiwa hapa
Mapenzi haya namshukuru Mungu nimepata mke mzuri na wife material baada ya siku mnapigana chini. Hata mimi nilishawahi kusema hivyo hivyo kama wewe na mapenzi yalikuwa moto moto. duh! sijui hata ilishaje. Kuna mwanake mmoja yeye alikuwa anatupia picha ya jamaa yake facebook baada ya siku napita kwenye account yake sioni hata picha ya jamaa hata mmoja.
KIla la kheri comrade
Picha kipepe tumuone mrembo wako.
Kwanini mkuuNyie ndiyo watu salama humu JF hakuna mwenye shida na profile id zenu
OkUrongo mtupu
Za asikirimuKama IPI??? Sikuelewi asee
Za asikirimu
Hiyo tafsiri yako sio yanguKwann umetoa kauli kama hii,
Kwamba mtoa mada hapaswi kumpata mke kupitia jf au
Sasa hii thread umeiweka ya nini?,mode futa huu uziSiwezi kuweka picha ya mkewangu mtarajiwa hapa
Wakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.
Sikudhani kama JF kuna wadada wazuri kiasi hichi, nashukuru umenielewa na umekubali kua wangu, nilipokuona sikuamini kama ndie mwanamke niliekua nachat nae JF, ama hakika Umzuri sana.
Asante sana JF kwani nimepata wife material na mrembo hasaaaaa.
Sasa hii thread umeiweka ya nini?,mode futa huu uzi
Siku mkiachana pia uje kutupa mrejesho
Hiyo tafsiri yako sio yangu