Nakupenda sana Matilda

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,532
Reaction score
11,705
Wakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.

Sikudhani kama JF kuna wadada wazuri kiasi hichi, nashukuru umenielewa na umekubali kua wangu, nilipokuona sikuamini kama ndie mwanamke niliekua nachat nae JF, ama hakika Umzuri sana.

Asante sana JF kwani nimepata wife material na mrembo hasaaaaa.
 
Kumbe inawezekana, basi wataftaji ngoja tuendelee kukaza msuli

BTW picha ya Matlida ni muhimu kama rejea ya wasoma thread
 
Kumbe kweli?

Ngoja muda ukifika niweke bandiko langu.
Usijekuwa unatulisha matango pori we jamaa!
 
Kapenzi kangu ka mwandani wangu nilikapata ofisin kanaitwa Matilda....naona tuna wanaofanana majina
 

Hongera kwa kupata wako, mpende na kumtunza. Focus hapo sasa usihangaike tena.
 
Mi mwenyewe natafuta kitambo, nishaweka nyuz 2 kule lov connect cjui wanadhan natania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…