Nakupenda sana @Madame B

Nadhani leo ndo utajua kuna mamento Asprin
 
Last edited by a moderator:
Bora umeamua kufunguka mkuu . Nakutakia kila la kheri.
 
Aiseee!
Lakini unatakiwa kijua Madame B ni mmoja ya wakina kanana wangu.
 
Last edited by a moderator:

Maskini ya Mungu weeee,
Sijakuona.
Nashukuru kwa kunipenda kwa maaana yule nimpendae amenitosa laivu ati tu sikwenda Arusha bila taarifa.

Freeland, nashukuru kwa kunipenda ila tu ukiwa nami ujiandae kushea penzi na ma-hubby zangu.
Kama uko tayari......come to me baby.
Ila nitahitaji kujua yafuatayo:-
a) Account yako ya Bank ina sh ngapi.
b) Unatembelea gari ya aina gani.
c) Unaishi wapi, ili nijue out zako zinakwendaje.
d) Una kiwanja?, Biashara au!
e) Kila siku baada ya matumizi, wallet yako hubaki na kiasi gani?

Ukinijibu hayo.....Nitakupenda daima Freeland.
Serious ujue.....maana hata mimi silali nakuwazaaaaa tuuu.
 
Last edited by a moderator:

Aisee kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:

Afadhali umekuja mpenzi at least kunijibu huku
Maana kwenye simu ilishindikana mpenzi
Nakupenda sana hata saivi bado sijalala tangu jana
Pole sana kwa kutoswa...U belong to me baby...ukiwa na mimi hautajutia....
Ntakuenzi siku zote za maisha yangu.....Sitakutosa kamwe...I belong to You
We belong together my sweetdarling..........

Niko tayari kushea mpenzi lakini kwa wiki moja ya kwanza kwa sababu nina uhakika baada ya hapo utahamia kwangu daima.
Karibu mpenzi nyumbani kwa mapenzi hapa...hapa ndipo mapenzi yalipo.....
Kumbuka Madame B no one will love u the way i do.......
Akaunt yangu kwa sasa ina shilingi milioni 20 tu...na hiki ni kipindi sina hela kabisa
Natembelea gari ya kawaida kabisa Toyota Mark x
Naishi Kigamboni Kibada Mwenzio
Sio tu nina kiwanja ila nina nyumba mpenzi...kwa hio wewe ni kula kulala tu....
Kila siku hua natoka na si zaidi ya laki moja na hua nabaki na sh 50 elfu at minimum...najibana mpenzi.......

Naamini sasa utanipenda milele daima...milele daima..........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…