nurbert
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 1,887
- 428
Lwiva Amos Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa.
"Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni
lini?" Wengine wakasema, leo asubuhi, wengine
muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia, "Kila
mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms
amwambie,NAKUPENDA MKE WANGU.." Halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya
mwenzake. Majibu yalikuwa hv:
1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. Heee..!! Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani. 5. Leo sikusamehe najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms
au?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!