Nakupenda Michelle

Nakupenda Michelle

Mkuu, umewahi kumwona Michelle mwenyewe live ? Au umempenda kwa sababu ya michango yake tu hapa JF?
Kama hujamwona nakushauri umtafute kwanza umwone ndo umtokee.
 
...yaani! We acha tu. Ila nimeasili mtoto hapa jf, kwa hiyo ujue tuna binti

Nakupenda pia sana, tutatunza tu mtoto wetu!!!nami pia nimeasili,kwahiyo hakuna neno,tuombe tu iwe salama na kheri tuwe na uwezo wa kuwatunza kama inavyopaswa. asante!
 
Nakupenda pia sana, tutatunza tu mtoto wetu!!!nami pia nimeasili,kwahiyo hakuna neno,tuombe tu iwe salama na kheri tuwe na uwezo wa kuwatunza kama inavyopaswa. asante!

Binti yangu usilie tena. Umepata mama
 
Michelle leo utakoma nyumbani kumbe una mpenzi humu JF na leo sifungui mlango usiku kama jana.
 
Endeleeni kupendana bana hata vitabu vya dini vinasema pendaneni. Na pia zaeni muijaze dunia, hilo nalo la msingi msilisahau!!
 
Michelle leo utakoma nyumbani kumbe una mpenzi humu JF na leo sifungui mlango usiku kama jana.

Haya! Kiko wapi wewe uliejisifia kuaminika? Njama zako za kunipa wivu wa kijinga kwa kujisingizia "kutofungua mlango" nimezishtukia. Tafuta namna nyingine kaka.
 
Endeleeni kupendana bana hata vitabu vya dini vinasema pendaneni. Na pia zaeni muijaze dunia, hilo nalo la msingi msilisahau!!

Kwa niaba ya Mamsapu tunakushukuru kwa ushauri wako!
 
Back
Top Bottom