Nakupenda Michelle

Nakupenda Michelle

unampendaje pendaje huyo? Humu ndani kwa mahaba duh!
 
Sasa unamwandikia Michelle alafu unaacha kwenye Jukwaa! una maana umeandaa thread yako na Michelle wawili tu! mtongozane si tuwe tuna chungulia na kutoka bila comment(s)!?
 
Michelle Obama huwa anapitia hapa au????

...kuna umuhimu wa kufafanua anamzungumzia Michelle yupi. Kama ni Michelle Obama au ni Michelle ambaye amekutana na leo kanisani au Michelle Michelle :bange:
 
Mods hii ipelekwe chitchat.Michelle wetu huyu filosofa unamzimikia kwa kiswahili ? sidhani kama utafanikiwa lol!
 
All the best, siku hizi simuoni au kahama jukwaa
 
Back
Top Bottom