Nakupenda lakini umechelewa

Kabla hamjaingia mahusiano seriuos muhimu kuulizana imani zenu, si rahisi waisilamu wenye kufaham imani yao kubadili dini angalau baadhi ya wakristo inatokea
 
Aliumia na alikutegemea
Kosa si lake ni la wazaz wake
 
Mbona si tunavumiliaga?
Inategemea na mazingira ya uvumilivu, umeambiwa haolewi mtu hapa na kafiri na kashifa juu pamoja na matusi wewe utafànya nini embu awe ndiyo kaka yako mmepeleka posa jibu ni hilo ungemshauri nini kaka yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…