Nakupenda kwa moyo wote.

He means EVERYTHING in our life !



HUU NI UJINGA NA UTUMWA WA HALI YA JUU. MIMI NINAVYO JUA KIPINDI CHA YESU CAMERA ZILIKUWA HAZIJAGUNDULIWA KABISA, SASA HIZO PICHA NANI ALIKUWA ANAMPIGA?


- Wazungu wanapiga picha na nyie mnaziabudu, huu ni ujinga, mimi ni mkristo lakini sikubaliani na huu ujinga wa kuabudu picha za wazungu

- KUNA PICHA MOJA NILIWAHI KUONA ETI SHETANI NI MWEUSI
 
kwani nani kasema anaiabudu hiyo picha! hiyo ni ishara tu wewe kuonyesha kuwa huyo mtu alifanywa hivi. hata israel kwenyewe kuna picha na sanamu za hivyo nyingi wameziweka kwenye maeneo mbalimbali aliyoishi. Na wanaoabudu jiwe utawasemaje?
 
yesu wangu ninakupenda wewe ni kila kitu kwenye maisha yetu!ijumaa kuu njema!

yesu yupi unazungumzia? Huyo mzungu hapo kwenye picha? Huyo ni mcheza sinema na anaishi holywood marekani nazani hapo alipo anajisikia sana kuona wajinga wanavyo mwabudu kama yesu

 

confused!!!!!!!
 


Una point nzuri sana lakini unashindwa kuwaelewa wachangiaji na vilevile umeshindwa kuwafundisha wale wasioelewa suala unalojaribu kulielezea sababu sijaona hata mchangiaji mmoja aliyesema anaiabudu hiyo picha..
 
Umechanganyikiwa unahitaji msaada. Kama kuabudu picha wewe ndio unaabudu picha. Si unaona hata evator yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…