Nakupenda japo yalitokea!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,335
Sioni kama hapa naweza kuwa na maneno yakukwambia kwani nikisema niongee nitakuwa namaliza bandwidth ya watu! maelezo muhimu ni kichwa cha habari.Maswali hayatajibiwa! ila ushahuri utapokelewa! Je bila ya kutaja yaliyotokea/yanayokutokea katika mahusiano yako je unamtu unataka umwambie ujumbe huu kama ndiyo weka maneno yako ili ajue kuwa bado upo naye/na bado unampenda.Funguka mimi nimeisha sema.
 
Hahahaaa, love u my daktareeeeee!
 
Hivi Tuko
wew ni wa kike au wakiume??, samahani lkn
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaa
Hapa ndo mahali pake haswaa
Love u sana mwanasiasa chama, mwaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Tuko
wew ni wa kike au wakiume??, samahani lkn

Huna haja ya kuomba samahani kwani kuuliza sio ujinga (especially unapouliza watu matured emotionally kama mimi). Mimo ni ME...
 
Last edited by a moderator:
Huna haja ya kuomba samahani kwani kuuliza sio ujinga (especially unapouliza watu matured emotionally kama mimi). Mimo ni ME...

ewalaaah.........!bora umemwambia..inawezekana jamaa aliandaa siku aivamie pm yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…