Nakupa Siri usimwambie mtu

Gaga

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,558
1,968
Hii ni siri ukaushe tu ukisikia ni hiviiiiii
kama haja ndogo ni "short call"
haja kubwa ni "long call"

Unaonaje kujamba iitwe "missed call"???????
 
uuhmm..hi joks nimeisoma juz hum hum usirudia ambvyo tushacheka na kusahau!
 
hii ni siri ukaushe tu ukisikia ni hiviiiiii
kama haja ndogo ni "short call"
haja kubwa ni "long call"

unaonaje kujamba iitwe "missed call"???????

wewe ni mdada au man?

Kama mdada wa heshima hukustahili kutoa hii joke naona km ni joke za mabrother men wa kijiweni tena wasiosoma.

Kama ni mdada basi wewe ni tomboy!

Na siwezi futa kauli yangu.
 
wewe ni mdada au man?

Kama mdada wa heshima hukustahili kutoa hii joke naona km ni joke za mabrother men wa kijiweni tena wasiosoma.

Kama ni mdada basi wewe ni tomboy!

Na siwezi futa kauli yangu.

Usijali yote maisha
 
I like ur attitude Gaga!

Si unajua tena kazi ya mpasua jipu? huwa ni ngumu haswa akikutana na majipu yaliyokaa sehemu mbaya akitoka theatre mtu yeyote mbele yake anamuwakia.
 
Back
Top Bottom