Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,660
- 68,628
Leo nimemmiss huyu mkaka, popote aliko ajue nimemmiss na tunamiss nyimbo zake nyingi tu. Sikupenda ufe Mangwea nilikua shabiki wako kufa jamani ulikua unanichanganya akili ukinichania mistari yako. Jamani ardhi inameza, Ngwea nilikua namkubali alinifanya nipende hip hop nipende free style.
Popote ulipo i miss you, upumzimke salama na hayo madawa yaliyokuua Mungu anayaona.
Popote ulipo i miss you, upumzimke salama na hayo madawa yaliyokuua Mungu anayaona.