Mbona mkuu umekimbia njoo utupe maelekezo na mchakato ukoje tafadhali mwaka umeanza na sisi tuanze nao hii ni fursa pekee sana kuisadidia CHADEMA mtandaoni na tawi hili litafanya kazi kubwa pia ya kupambana na propaganda chafu dhidi ya chama chetu kitukufu cha CHADEMA.