Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

...niweke kwa jina la ''OBSERVER'',na tawi napendekeza liitwe ''GWANDA ONLINE'',mail ni vagusrecurent@hotmail.com!!...,napendekeza wote watakaoomba uongozi ni bora watume CV zao kwenye mail yako binafsi,hivyo ni vizuri uirushe hewani,kisha wewe uzitume JF ili wanachama wazicheki wakilinganisha na sera zao katika kampeni ili kuweza kuchagua watu sahihi sabu kwa satili hii watu sizani kama watweza kuchagua vizuri,kwa maana watu si wote wanafahamiana vizuri...
 
Uongo mtupu. Hii yote ni feki tu! Kuanzisha tawi bila hata kukutana! Wengi hatuhitaji kufungamana na vyama vya kisiasa. Kuwa huru ni vizuri sana. Tutawapima watu kwa sera zao bila upendeleo.
 
Hili wazo nilitoa hum kwenye JF ila MOD waliifungia ile post. Hivyo basi nilipata ushauri toka kwa GOODLIFE kuwa tufungue website ili kuweza kufanikisha zoezi hili .Mpaka muda huu kwa msaada wa Brigade tumefanikiwa kusajili domain kwa jina la chademaonline.org baada ya hapo tutengeneza email ID ambazo tutazitumimia . Hivyo wanachama wote waliokuwa wamejisajili tunawaomba mtembelee mtandao huo kwaajili ya kukamilisha zoezi tulokwisha lianza. Asanteni
 
Weka Jina Langu.(Na nitaomba nafasi yauwakilishi wa Tawi mahali ninapoishi na pia katika blog yangu ndogo)

Lakini pia ijulikane kuwa kuna watakaojiunga ili wapeleke siri zetu kwa magamba, ningeshauri sio kila jina au Member akubaliwe tu, achunguzwe (japo kwa posts zake) hii itaonesha angalau robo ya msimamo wake japo ni ngumu kuusemea moyo.
 
Wazo zuri .... ongeza jina 'munisijo' kwenye list then tuma confirmation kwangu.....
 
Tuko pamoja wandugu, naomba na mimi jina langu liwemo kwenye hao member.
Register me please!!!
 
Back
Top Bottom