Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

weka jina langu,walas ba.,halafu kuhusu jina la tawi weka online kamandas,,namb 0768870380
 
It sounds revolutionary. Add Mutakyamirwa please and send me a confirmation on jf personal message.
 
ongeza tanira1 mkuu kwenye list mbona hii nimeomba siku nyingi sioni jina kwenye list
 
Mbona mkuu umekimbia njoo utupe maelekezo na mchakato ukoje tafadhali mwaka umeanza na sisi tuanze nao hii ni fursa pekee sana kuisadidia CHADEMA mtandaoni na tawi hili litafanya kazi kubwa pia ya kupambana na propaganda chafu dhidi ya chama chetu kitukufu cha CHADEMA.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom