mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,990
Nimeisoma yote ila sijaona funzo la moja kwa moja kutoka kwa dada zaidi ya kutumia muda mrefu kupata mafanikio ambayo wenzie waliyapata ndani ya muda mfupi bila kutumia jasho,ilitakiwa utuoneshe side effect ya walionunua mitihani either walidisco au walifukuzwa kazi,ila kama wakaendelea kula bata mpaka Leo tena Mara nyingi zaidi ya binti mbona poa tu,na yule mhasibu kapiga milioni 20 na kaendelea kudunda Mara nyingi zaid ya binti aliyeenda kuteseka zaid akitafuta CPA Huku wenzie wakila bata,MPE pole mwambie maisha ni akili tu na the way unavyozichanga kama masamaki,maisha yenyewe mafupi....kwahiyo hapo kufundisha Moshi ndo kilele cha mafanikio au??
