Nakumbuka kwa mbali saana, sina uhakika

Nakumbuka kwa mbali saana, sina uhakika

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
1. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi kupiga kona
mpira ukaenda wavuni na kuwa goli
2. Kuna mchezaji mmoja nadhani Wa Milambo
alikuwa anaitwa 'scud'. Mwaka huo kama
sikosei marekani walikuwa wanaishambulia
Somalia kwa kutumia makombora ya scud
3. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi kupiga penati
nyavu zikatoboka
4. Kuna timu moja nadhani Simba waliwahi kuingia
mitini baada ya kipindi cha kwanza hawakurudi
uwanjani
5. Kuna timu moja toka Madagascar ilifungwa na
Pamba goli 12
Nitazidi kuongeza nyingine kadri ninavyokumbuka
 
6. Kuna mchezaji wa Simba Sc, katika mechi ya kufunga ligi msimu wa 2011-2012 alifunga magoli mawili na kusababisha mengine matatu, na hivyo timu yake kushinda goli 5-0.
 
Kuna timu kama sikosei ni simba sc. Ilishawahi kuifunga yanga goli saba kwa bila.(7~0)
 
Hata Amri Maftaha
Hii nilikuwa siijui. Ninayoikumbuka mimi, ilikuwa mechi ya Yanga na timu fulani hivi. Huyu Maftah nadhani alichezea Simba na Pamba ya Mwanza, wana FC Lindanda Kawe kamo
 
Kuna timu ilipigwa 5 na Simba ikatimua uongozi wake 2012.
 
kuna timu hapa tz imefungua shamba kubwa la viaz maeneo ya Bunju...
 
Kuna timu ilipigwa 6 mtungi ambayo ni rekodi ni rekodi baina ya timu hizo mbili.
 
Kuna timu moja kiongozi wake,mwenyeji wa tabora alisema timu hiyo ina mashabiki mambumbumbu.
 
kuna timu moja ya tz, inaongoza kwa kuchukua vikombe vyote vya hapa tanganyika,na iliimbiwa bonge la wimbo na PEPEKALE.
 
Kuna timu mbili tu hapa afrika zilitungiwa wimbo na pepekale kule congo..ni Cameroun na timu gani nyingine...?
 
ImageUploadedByJamiiForums1412518612.322749.jpg
 
1. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi kupiga kona
mpira ukaenda wavuni na kuwa goli
2. Kuna mchezaji mmoja nadhani Wa Milambo
alikuwa anaitwa 'scud'. Mwaka huo kama
sikosei marekani walikuwa wanaishambulia
Somalia kwa kutumia makombora ya scud
3. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi kupiga penati
nyavu zikatoboka
4. Kuna timu moja nadhani Simba waliwahi kuingia
mitini baada ya kipindi cha kwanza hawakurudi
uwanjani
5. Kuna timu moja toka Madagascar ilifungwa na
Pamba goli 12
Nitazidi kuongeza nyingine kadri ninavyokumbuka

Hapo kwenye red, Marekani haikuishambulia Somalia, ilikuwa inatumia makombora ya SCUD kwenye vita ya ghuba, kati yake na Irak.
 
Aliyepiga kona mpira ukaenda moja kwa moja wavuni ni Ahmed Amasha.;Halafu kuna huyo mwingine ni Said Swedi Scid,aliyefunga Goli na kuchana wavu ni Gibson Sembuli,Timu ilyofungwa goli 12-1 na Pamba Fc ni Anse Bwalu ya Ushelisheli.Nadhani nimejaribu.
 
Kuna timu iligoma kuingia uwanjani kwa sababu ya imani za kishirikina
 
Back
Top Bottom