Nakumatt opens USD 1.3 million supermarket in Moshi, Arusha branch forthcoming | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakumatt opens USD 1.3 million supermarket in Moshi, Arusha branch forthcoming

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, Dec 28, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  By Staff Reporter - Arusha Times

  Kenyan retailer, Nakumatt Holdings, on December 10th officially opened the doors to its latest outlet in the East Africa region, in the Tanzanian town of Moshi.

  The opening of the US$ 1.3million Nakumatt Moshi supermarket at the foot of Mt. Kilimanjaro now pushes Nakumatt’s tally to 35 branches across Tanzania, Rwanda, Kenya and Uganda. The opening of Nakumatt Moshi further enhances the firm’s positioning as the leading East Africa retailer.

  Speaking ahead of the opening of the new store, Nakumatt Holdings Managing Director Mr. Atul Shah disclosed that the firm is sparing no effort to ensure a full East Africa coverage by opening a branch in Burundi within the next two years ahead of a scheduled pan African expansion bid.

  [​IMG]
  Nakumatt store opens in Moshi

  Beyond East Africa, Nakumatt Holdings has confirmed plans to enter other key markets within the Southern Africa, Western and Horn of Africa regions as part of its next growth phase in the next five years as part of its Nakumatt 2.0 corporate strategy.

  Covering a 34,000sq feet shopping floor space, the new Nakumatt Moshi Supermarket is the first branch on Tanzania soil with four other branches currently under consideration in key Tanzania markets such as Dar es salaam and Arusha in coming months.

  “Nakumatt Holdings is actively exploring options for a store in Burundi to ensure that we fully cover East Africa before setting off on the Nakumatt 2.0 journey which involves registering a Pan African presence,” Shah said.

  And added: “the opening of Nakumatt Moshi now sets the stage for further branch openings in Dar-Es Salaam and Arusha in coming months.”

  Sitting at the foot of Mt Kilimanjaro, Moshi town is an important economic hub in Tanzania enjoying a high sit on the country’s tourism front. Moshi town is also a coffee producing area with a high disposable income to support a world class retailer.

  At the new Nakumatt Moshi, shoppers will enjoy the renowned Nakumatt You need it, We’ve Got it package at the most competitive prices. A wider range of household, furniture, clothing and electronics will be on sale at Nakumatt Moshi and will also feature state of the art tills with Nakumatt Smart Card loyalty program and gift voucher systems, according to a press release by the retailer.

  With such capability, shoppers will accumulate points for all their purchases which they will in turn be able to redeem for shopping and other exciting offers

  At the current growth rate, Nakumatt Team Leader Shah explained that the firm is on course to activate its second growth phase in a project code named Nakumatt 2.0 that will focus on pan Africa expansion.

  “Through a project code named Nakumatt 2.0, we have now embarked on a feasibility study to facilitate our entry to such countries as Burundi, Zambia, South Sudan, DRC, Nigeria, Botswana and Malawi,” Shah explained.

  Nakumatt Holdings has steadily grown its regional presence geared at fostering regional development with new branches now open in Kampala and Kigali. The firm’s expansion bid in East Africa is also geared at deepening retail services provision in East Africa.

  Nakumatt’s commitment to the ideals of the East African community are anchored on its corporate goals to facilitate a five star brand promise geared at ensuring Quality, Value, Service, Variety and lifestyle growth for its customers.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Why can't we Tanzania have our own Made SuperMarket's and Run them as our Local Investments - Za kwetu, zinaanjiri watu wa kwetu na vyakula ni vyakwetu kama vile VOIL, TANBOND, SIHA... all made from Tanzania sale here rather than importing Kimbo tunakuwa bado waombaji meneja hatumuelewi kiswahili chao kigumu kwetu...

  Let it be a local investment...
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  wakenya ndio wanaajiriwa hapo au ni watz tu? kama ni wakenya basi watz ni wapumbavu na serikali yao
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna vijana humu umewaacha vibaya mno! Siha, tanbond na superghee ya VOIL!

  Mkuu tunayo Imalaseko ambayo inauza kamongo pale pamba house!
  Wakenya wametukalia vibaya kweli! Wanachukua uchumi kisha ardhi baso tunakuwa manamba! Tanzania ukoloni unakuja toka kulia, kushoto, kati. Tuna kazi ya kujikomboa!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Watanzania watakuw wasukuma mikokoteni ya supermarket! Hivi huoni pale game walinzi ni.Wakenya au hujagundua wewe. Kama upo Bongo tembelea game uone na jaribu kuongea nao utagundua kuwa ni experts toka nchi ya jirani!
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  Uchumi and Nakumatt will Outsmart SouthAfrican Shoprite soon.

  Where's Imalaseko supermarket(Tz)
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  kama hata hizi kazi rahisi na za kipuuzi tunawaachia wageni then tunalalamika maisha magumu halafu kwenye uchaguzi tunwarudisha watu wale wale tutegemee nini?
  ndio maana siku hizi nikipigwaga mzinga natukana na sitoi kitu
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu uchumi na nakumart zimeorodheshwa NSE kwa hiyo ni kampuni ambazo zinaendeshwa n wataalam na zinalipa gawiwo kwa wanahisa japo mojawapo ilikaribia kufilisika. sasa imalaseko yetu ya mtu mmoja kweli tutafika?
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Bravo on these Kenyans!
  Guys, you have to learn to accept your weaknesses in order to formulate ways of dealing with it. There are things Tanzanians can't do on own initiative, we sort of have to suffer a blow and be badly inflicted to having have to take a stance and venture into the "unknown."
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu siunaona machezo wanayopiga wabongo pale mlimani city.. ukitaka receipt 45,000/= bila receipt 32,000/= ... ikitoka nje gari imevunjwa kioo mlinzi yupo pembeni unamuuliza anakujibu sio kazi yangu kulinda magari. Wizi tz umeanza kutoka mlinzi wa getini mpk _________. Tujirekebishe watanzania na haka katabia
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Viongozi wetu wanachojua kutekeleza kwa umahiri ni kuwapa free ride wageni kwenye biashara. Hata kama mtu hana capital kubwa lakini anatoka nje ya nchi hasa akiwa "colored" basi anatetemekewa kama Mungu mtu.

  Sasa watanzania wanapojaribu kubuni miradi ya kujiingizia kipato utashangaa from day one mtu unadaiwa kodi za ajabu ajabu. Na hapo utakuta mtu ametumia muda mrefu sana kuhangaikia leseni na vibali mbalimbali vya kumuwezesha kuwekeza ama kufanya shughuli yake.

  Na kwakuwa watanzania tumekubali kunyanyasika ndani ya nchi yetu, wacha tuendelee hivyo hivyo hadi ujinga utakapotutoka, nina hakika siku hiyo hatutasubiri chadema na dr. slaa kutueleza nini cha kufanya.

  Haiingii akilini kukuta wakenya na waganda wamejazana kwenye mahoteli, makampuni mbalimbali ya kigeni, mabenki ya kigeni, hata kwenye kampuni za ulinzi wamejazana. Mfano kampuni ya ulinzi ya KK imejaza wakenya wengi utashindwa kushangaa.
   
 12. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Wenye hisa kubwa Nakumatt ni wale wale wahindi. Kama tunavyowafahamu hawa ndugu zetu wa Asia wana uwezo mkubwa sana wa kupitia njia za panya.Waafrica tutaendelea pale tutapotambua kuwa sisi ni kitu kimoja. Wakoloni wametugawa hatujitambui wapi tutokako wala tuendako.Muisilamu anaona mwarabu ndio ndugu yake kisa wate ni waisilamu anamdharau na kutomsaidi mwafrika mwenzie hata ikibidi kuzuia maendeleo yake kisa ni mkristo.Vile vile Mkristo anaona Mzungu ndio ndugu rafiki yake na kumshutumu muisilamu kuwa si mpenda maendeleo kutokana na kukosa elimu dunia.Tukijua na kuelewa kuwa sisi wote ni waafrika maendeleo ni kwa ajili yetu sote sio kwa faidi ya mwarabu wala mzungu tutasonga mbele. Maendeleo yetu yatakuja pale sisi wenyewe tutakapo amua kujituma na kushirikiana tutafanikiwa sana.
   
 13. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mpaka siku watanzania watakapoacha tamaauvivu, kukosa uaminifu, kupenda vya bure, vya urahisi, wivu, kuridhika na vitu vidogo vidogo, matumizi yasiyokwa ya msingi
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  WAKUU, MIMI SIONI TATIZO KWA HAWA WAKENYA KUJA KUWEKEZA TANZANIA, TUJIULIZE

  1. Kuna kampuni ya Tanzania imejaribu kwenda kuwekeza kenya ikazuiwa?

  2. Watanzania Tutaendelea kuwafanyia kazi hao wakenya kwa sababu ya upumbavu wetu wenyewe, NITATOA MFANO WA KWENYE MAHOTELI, KUNA KAMPUNI MOJA INAYO MILIKI HOTELI KADHAA HUSUSANI KWENYE HIFADHI ZA SERENGETI, NA NGORONGORO,
  1. Mwanzoni wafanya kazi karibia wote walikuwa Watanzania, kukaibuka vitu vifuatavyo
  - WIZI WA VITU VYA HOTELI KAMA VILE GLAS, VIJIKO, MASHUKA, VIKOMBE NA KAZALIKA
  - Kampuni ilikuwa inabidi kila mwezi wanunue vitu vya kureplace vilivyo potea katika mazingira ya kutatanisha,
  - Kampuni baada ya kufanya uchunguzi na kuweka mitego walibaini kuna chein ya wizi ya kufa mtu, kuanzia kwa wafanya usafi, walinzi, wahudumu kwenye vyumba vya kulaa wageni, Baa na Hoelini
  - Walijenga Chaini Huyu wa Baa akivusha glass basi na wewe wa kwenye room jitahidi uvushe mashuka na taulo il baadae wafany buter trade.
  HAPA MNATEGEMEA NINI? KWA NINI WASIAJIRI WATU WA NJE?


  - WATANZANIA TUTABAKI KULALAMA SANA MPAKA MWISHO WA DUNI

  - NAKUMBUKA RAIS MSTAAFU MKAPA ALIWAHI KUSEMA" WATANZANIA BILA YA KUUNGANISHA MITAJI HATUTAWEZA KUSHINDANA NA MAKAMPUNI MAKUBWA YA NJE"

  COME TO THE POINT, ALIKUWA ANAMAANISHA HAYA YAFUATAYO

  1. Kila mtanzania anataka awe na FUSO lake mwenyewe la kubebea mizigo ya watu,
  - Je utaweza kushindana na makampuni makubwa ya usafirishaji yatakayo kuja kuwekeza Tanzania?

  2. Kila mtanzania anataka awe na Basi lake, awe Haice zake mwenyewe, awe na Tex zake mwenyewe, Awe na mashine ya kusaga nafaka
  - Je yakaja makampunu makubwa na kuivest kwenye mabasi ya kubeba abilia ni nani ataweza kufurukuta?

  3 Kila mtanzania anataka kuwa na Duka lake mtaani na kwingineko, kila mmoja

  4. Kila mtanzania anawaza kuanzisha Min supermarket
  - Hizi min Supermarket tunazo jivunia zitaweza kusimama kwa haya makampuni yenye mitaji ya kufa mtu?
  - Tutaweza kushindana na Shoprite?
  - Je tutawaweza NAKUMATT
  - Tutawaweza UCHUMU SUPERMARKET?

  - Watanzania Tutabali kulia, C jajua hapa Serikali ifanye nini, kwani hao wakenya wamepewa fedha na serilkali yao waje kufungua biashara Tanzania?
  - Cheki kwenye mabenk, Je serikali inahusika vipi? Kenya comercial Benk walipewa fedha na Serikali yao waje kuwekeza Tanzania?

  WATANZANIA KILA MTU AKITAKA AMILIKI, FUSO LAKE, MASHINE YA KUSAGA YA KWAKE, MIN SUPERMAKET YAKE, BASI LAKE NA KAZALIKA TUTAKUJA KULIA KILIO KILICHO KIKUU.

  WATU WENGINE WANAAMUA KUUNGANISHA MITAJI YAO NA KUJA NA KAMPUNI MOJA YENYE NGUVU SISI HUKU NI KILA MTU ANATAKA AONEKANE ANAZO PESA HAIJARISHI ANAMILIKI NINI.

  -YATAKUJA MAKAMPUNI MENGI SANA KUTOKA NJE WEEZA KWENYE USAFIRI WA MABASI TENA YA LUXURY NA BEI NAFUU SISI TUTABAKI KULAUMU SERIKALI

  WATAKUJA WATAWEKEZA KWENYE UBEBAJI WA MIZIGO KWA UFANISI NA KWA BEI YA CHINI, SISI NA USANII WETU TUTABAKIA NA FUSO ZETU TUNAZO MILIKI KILA MTU


  WATAFUNGUA SUPERMARKET KUBWA SANA, SISI TUTABAKIA NA MIN ZETU TUTAJIKUTA TUNAGEUKA KUWA WANUNUZI KWENY CAMPUNI ZETU WENYEWE

  TUSIPO BADILIKA NA KUUNGANISHA MITAJI YETU HAKIKA TUTAKUJA KUJUTA, TUTAJIKUTA TUNA KUWA THE CONSUMER OF HIS/HER OWN GOODS AND SERVICES
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  True Mkuu

  Watanzaia tuapenda sana sifa zisizo kuwa na maana yoyote ile. Mfano

  - Wivu, kila mtu anataka awe na chake

  - Ulaghai, Tunafanya usanii sana, Dunia ya sasa haitaki usanii inataka mambo yaliyo nyooka


  Matumizi ya anasa
  - Ingawa kila mtu ana haki ya kutumia pesa zake kadri awezavyo ila kuna wale tunao tumia kutafuta sifa kwa watu wa nje.
  - Tunaishi watu wapendavyo si tutakavyo.
  Mfano kuna hizi sherehe za Kipa imara, Komunyo, Ubarikio na kazalika, siku hizi zinafanyika kimashindano, watu wanadiriki kushindana katika kuwafanyia watoto wao sherehe hizi,
  HUU NI UJINGA WA HALI YA JUU
   
 16. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Acha waje tu ili Wadanganyika tutie akili, kwani tumezoea kutembea huku tukipunga mkono wakati wenzetu wanatupigia mahesabu. Ntafurahi sana wakifungua branch pale Arusha maana nimechoka na Shop rite, ambako inakuchukua nusu saa kulipia chupa moja la maji. Super Market gani isiyojua kutofautisha rush hour na non-rush hour. Wacha waje watuonyeshe mfano.
   
 17. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  karibuni wakenya, hapa shamba la bibi kizee ndio kuanza usingizi unaanza...
   
 18. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,426
  Likes Received: 2,453
  Trophy Points: 280
  Hata kama tukijenga zetu, umeshashuhudia "customer services" zetu?

  Yaani watu wanatka kazi, wakishaipata, maadili na uchapaji kazi unasahaulika mara moja!

  Hii ni ktk kila sekta, benki, serikalini na hata walio na biashara zao, tuko tuko tu, mwenye duka, anaweza kuwa ameishia stock za bidhaa fulani, inaweza kumchukua wiki hata mwezi hadi atakapo nunua tena stock, anachekelea na kufurahia kabisa anapokujulisha kuwa kitu ukitakacho hakipo!

  Wache wageni waje watufundishe adabu kidogo!
   
 19. N

  Ndamalishaz Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nipo likizo moshi nimeenda hapo nakumatt tena mara nne for shopping kuna wakenya kibao wameajiriwa nawapo serious thy ve good customer care,,lakin kuna watz pia sijajua serikal inachukuliaje hili la wakenya kuajiriwa kwa wingi hvyo but kila kitu hapo ni kizur na tunafurai kupata nakumatt moshi
   
 20. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Tulianza na RTC Supermarket wahindi wetu wakaona hiyo wakaiga oh no wakaitwa walanguzi jela kila mmoja
   
Loading...