ma reseller si unawajua ndugu yangu,
mbona unataka kuwaumiza watu Vichwa hasa wasiojua open rpot hata moja,
achen ki2 hyo bwana kama mmejipanga kula kimya kimya,
basi msije hapa kuwapa watu presha.. Just PM resellers,
.
Hivi mnawaumiza sana hawa
CONNECTED BUT LACK ACCESS
.
Sioni mantiki ya hii thread yako kuletwa hapa, kama ulichokiandika hapa ndo kilikuwa nia yako ungewa-PM hao ma-reseller kwa sababu wanajulikana kuliko kuja hapa kutujazia ambazo hazikulazimika kuja hapa, halafu kitu kingine unahisi kama vile watu watakunyenyekea kama unavyoamini but believe me kama watu watafanya hivyo mimi nawa-subject hao watu kama watumwa wako. Anyway mafanikio mema mkuu
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
sijui watu mnatakaje au unataka niweke hapa halafu wiki mbili ifungwe? mimi niwatafute mareseler mimi ninashida ya kuuza au wananipa senti ngapi.. nia ya kuweka hapa ili wewe ufahamu kuwa there is still hope kwa wakuu wote na pia maresseler wafahamu wote mwisho watu wote wanao paswa kujua wajue hii kupitia resseler wao... na mimi siwezi weka hapa na sina muda wa kujibu PM zote za JF. hujafikiria hilo?WAHEED SUDAY
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
kweli kaka tena hadi mtandao wa HEWA tel unakubal UKICONNECT kwa ICMP ila kwa line za post paid ambazo wakuu nahisi wachache wanazo. au kama mtu HAKUTUPA ile line ya zaina kabla hajawa HEWA tel inaconnect safii kwa icmp na c udp
kaka kuwa mpole ...uta elekezwa na reseller wako tuliaaa mkuu halaka ya nii we mbane reseller wako...soon utana watu wakuu wana cheka tena.. ngoja tufate protokali mkuu
.
kaka sina maana kama hiyo hata kidogo, nawala kamwe situmii pd/TG; na wala siwajui ma reseller, bado
ndo nimemwona Mwl.RCT na wamavoko sijui kama kuna wengine
nahisi niishie hapo
ila hata siku moja siwezi nikakubali kuwa CONNECTED alafu ni LACK ACCESS
Kamwe sitokubali KAMWE
hawavumi lakini wapo...............
.
sina cha ziada mkuu niishie hapo mana nili jaribu kukubadilisha mawazo kidogoo
sijui kama kwa upande wako umeona sipo sahihi
NATANGULIZA
:A S-confused1::A S-confused1:
PD proxy inapiga mzigo kwa basi fulani,ila mwendo kasi ni mdogo na mtandao unakatakata sana. Nilikuwa naitumia huku nikisubiri wataalamu wafungue njia kwa basi lililoziba barabara. Lkn sikuja kuyamwaga hapa kwakuwa tunajifunza kutokana na makosa. "magiwiji" na "wataalamu" walioanika ports hadharani wakadai ni rahisi kupata mpya,zilipofungwa na wao wamepotea. Hizo mambo mtoa mada ungewapa resellers kimya kimya,na wao wangetutafuta kimya kimya mambo yakaendelea. Ni mawazo tu.
long time no see you dude..Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't waste your time, instead nitawapa Ma reseller wa PD proxy kwa Makubaliano maalumu nawaamini sana na wao wata wapa wateja wao. si wapondi wataalamu wetu nawakubali sana wao ndio wamenifahamisha kuhusu PD. so wakuu tulieni na subirieni kiTu toka kwa walio wauzia vocha waambieni wanichecki mimi. naamini na wao hawatapost kitu hapa...this time ni kushusha Ma GB tu. please kama wewe ni reseller na upo kwenye list ya Authorized reseller KWENYE WEB YA Pd proxy ni PM haraka haraka wana jamii wanataka kula mambo...cheers wakuu!!!! hehehe rahaa
Technology is very wide
PD has been there miaka ile kwa BASI la kijani lkn waliusoma mchezo and nobody knew anything kama kuna hack ya DAVO inawezekana Via PD proxy mpaka Kijana Saleh Rashid Telecomm Expert alipodaka Loophole
Hivo mkuu sharobaro utakuwa umeokoa JAHAZI na much respect kama ni kweli
.kwan mkuu njunwa c ulsema una sln? Japo haijanifikia nna wiki ya pili hapa kwann tctumie yako halaf ya huy tutatumia kama yako itafungwa?.