Nakukumbusha Nape Nnauye kwamba Mbowe si kama Lowassa uliyemtukana utakavyo

Serikal imemomba radhi kwa kumsingizia ugaidi? Wewe kada hunaga hoja kabisa na ndo mnaomharibia Mbowe mali yake yaani CHADEMA. Ungekuwa mzalendo kwa kukemea Mbowe alipoleta mambo ya ubara na uzanzibari kwenye ishu ya Bandari. Kabla ya kupost uzi uwe unafikiria kwanza sio kukurupuka.

..Katiba yetu ina mapungufu.

..Tulipaswa kuwa na Rais wa TANGANYIKA anayetuongoza na kulinda maslahi yetu ndani.

..Bandari ya Dsm si ya muungano, ni ya Tanganyika.

..Samia Suluhu na Makame Mbarawa ni Wazanzibar, lakini ndio wasimamizi wa kuuza bandari ya Watanganyika.

..Tanganyika ipewe serikali yake, au Katiba itamke ni mwiko Mzanzibari kuwa Raisi wa muungano.
 
Kuna uwezekano kabla ya mjadala Bungeni wa kuridhia IGA, Wabunge wa CCM walikaa kukubaliana ya kuwasilisha, na kuteua wa kuyawakilisha. Aiingi akilini waliochangia mjadala waongee lugha moja ya kusifia kama CHAWA

Yani haylta ku balance wameshindwa, kuna mwingine kajadili majukumu ya rais na kusifia tu, unajua unaweza support kitu ki style hata mtu yeyote asijue una suppor
 
..Katiba yetu ina mapungufu.

..Tulipaswa kuwa na Rais wa TANGANYIKA anayetuongoza na kulinda maslahi yetu ndani.

..Bandari ya Dsm si ya muungano, ni ya Tanganyika.

..Samia Suluhu na Makame Mbarawa ni Wazanzibar, lakini ndio wasimamizi wa kuuza bandari ya Watanganyika.

..Tanganyika ipewe serikali yake, au Katiba itamke ni mwiko Mzanzibari kuwa Raisi wa muungano.
Unaanza "ndondo" asubuhi hii ?!!!

Sikiliza wewe usiyependa kujifunza....

Tanganyika imeshaoza huko kaburini.....

Tuliizika mwaka 1964...haifufuki ng'o....mwenye kutaka kuifufua anataka kuuvunja MUUNGANO na mwenye uthubutu wa kuuvunja muungano ajiandae "KUVUNJIKA YEYE"

Unawakumbuka G55?!!!

UAMSHO na ile miaka 9 nyuma ya nondo ?!!!

Usifanye maskhara na mambo adhimu kama Muungano wewe....hivi unajua ni matambiko ya kiwango cha gharama gani yalifanywa kabla ya Tanganyika kufukiwa kaburini ?!! Unajua wewe hobobo ?!!!

Unataka mizimu iamke na kusababishia GHARIKA ?!!!

Hayati Nyerere atabaki kiongozi wa kipekee bora duniani kutufinyangia taifa bora hivi lilivyo...

Nje ya Muungano kuna haya:-

-UGAIDI WA KIDINI

-UGAIDI WA KIKOMUNISTI

-UHAFIDHINA WA UDINI ,UKABILA NA UKANDA

Usifanye maskhara kabisa wewe jamaa....alaaaaaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
..Tuendelee na serikali 2.

..lakini Katiba itamke ni MWIKO Mzanzibari kuwa Raisi wa muungano.
 
Kwanini ?!!!

Mbaguzi wewe....

#Wacha Mama Aupige mwingi
#DP World haoooo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

..Mbaguzi ni wewe.

..Hutaki Watanganyika wapate serikali sawa na Wazanzibari.

..Hutaki Watanganyika wawe na Raisi anayetoka miongoni mwao sawa na ilivyo kwa Wazanzibari.

..Wazanzibari ndio wabaguzi na wanyonyaji ktk huu muungano.
 
Hii nchi ina vituko

Kwahiyo unasema Nape ni piritoni kumlinganisha na Mbowe?
Hapo Mbowe ni kama nini Kwa ukubwa?malizia mifano ..
Na Lowasa nae unamlinganishaje Kwa Mbowe??...

Hii mipasho inachekesha sana...basi tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Eti anamtisha nape!!!!!
Kama kawa, andiko halikunoga hadi alipotajwa jk. Hawa walinda legacy sijui wana shida gani za makalioni na jk?!!!!!😬😬😬
 
..Mbaguzi ni wewe.

..Hutaki Watanganyika wapate serikali sawa na Wazanzibari.

..Hutaki Watanganyika wawe na Raisi anayetoka miongoni mwao sawa na ilivyo kwa Wazanzibari.

..Wazanzibari ndio wabaguzi na wanyonyaji ktk huu muungano.
Jamaa yangu Jokaaaa....

Sikiliza....

Tanganyika ilifutwa kutokana na busara kuu za makomredi vichwa wakiongozwa na El Comandante JKN....

Tanganyika iko "sirini" imepaa kuzimu kwa nia njema lakini....wanaita "occultation"...

Hujaelewa nilichokirudia kuwa ukiirudisha Tanganyika "blaza" utabugi haswaa....

MUUNGANO UTAVUNJIKA kihivi.....

Kimsingi Rais wa hiyo Tanganyika ndiye atakayekuwa na nguvu kuliko huyo (ceremonial president) wa JMT...

Ukivunjika tu...UGAIDI UMEANZA....acha maskhara kabisa mkuu....

Halafu mpende sana mh.Rais SSH....mmakunduchi huyo....kizimkazi....ndugu zetu hao kutoka huku bara walihamia MAKUNDUCHI (wakaitwa WAHADIMU). ..si zaidi ya miaka 309 iliyopita.....

Unafeli wapi ?!!!

Unamchukia mh.Rais SSH kwa kipi ?!!!

Kwa kuwa bandari ya Zanzibar haijaingizwa katika uwekezaji huu wa waarabu wa Dubai ?!!!

Jibu lako utalipata kwa Mh.Rais Paul Kagame wa Rwanda....hivi alipomtania hayati JPM ampe kuiendesha bandari ya Dar es salaam(ilete tija) kwa nini asiombe kuendesha bandari ya Zanzibar?!!!

Jibu unalo mkuu....

#SiempreJMT

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nape Nnauye , mwanaccm na Waziri wa Habari , umesikika Bungeni ukipiga porojo kuhusu Mbowe na Maridhiano badala ya kujadili kuuzwa kwa aibu kwa bandari za Tanzania .

Umefika Mbali sana kwa kusema kwamba wanaopinga ujinga wa kuuzwa kwa Bandari washughulikiwe , maana mbegu ikiwa ndogo iko siku itakua (VITISHO)

Hata hivyo nakutahadharisha kwamba Freeman Mbowe , mtu mwenye exposure ya kimataifa kuliko kiongozi yeyote wa Tanzania siyo fala , huyu hafanani na Lowassa uliyemtukana matusi ya nguoni na kumdhalilisha utakavyo kwa kulindwa na Kikwete , kwa Mbowe wewe ni mtu mdogo mithili ya Piritoni , kwa hiyo unapomjadili mtu huyu ambaye Serikali yako IMEMUOMBA RADHI KWA KUMSINGIZIA UGAIDI unapaswa kuwa makini mno !

Ninachokifahamu ni kwamba hukutumwa na mtu kushambulia Mbowe , bali ni kiherehere chako tu , hata hivyo hatutakunyamazia , hii ni kwa sababu hata ubunge wako si wa kuchaguliwa , japo uko bungeni lakini huna unayemwakilisha .

View attachment 2653197View attachment 2653198View attachment 2653199
Hapo kwa picha ya mwisho kamanda mbowe alikuwa akitumbuiza wimbo gani?
 
litutumbwe ni kujiendekeza, ulaji mbaya yaani uroho, ulafi na umelo na uvivu wa kutokufanya mazoezi. Sijamsema Nape Nnauye vibaya, nimemkumbusha tu abadili tabia. Mtumbo dizaini ya litutumbwe ni chanzo cha maģonjwa yasio ambukizika. Pia ni chanzo cha kupoteza na kuishiwa kabisa nguvu za kiume
Mkuu nimekulenga wewe....

Mlokole wewe unausema mwili wa mtu vile?!!!

#DP World haoooooooo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nape Nnauye , mwanaccm na Waziri wa Habari , umesikika Bungeni ukipiga porojo kuhusu Mbowe na Maridhiano badala ya kujadili kuuzwa kwa aibu kwa bandari za Tanzania .

Umefika Mbali sana kwa kusema kwamba wanaopinga ujinga wa kuuzwa kwa Bandari washughulikiwe , maana mbegu ikiwa ndogo iko siku itakua (VITISHO)

Hata hivyo nakutahadharisha kwamba Freeman Mbowe , mtu mwenye exposure ya kimataifa kuliko kiongozi yeyote wa Tanzania siyo fala , huyu hafanani na Lowassa uliyemtukana matusi ya nguoni na kumdhalilisha utakavyo kwa kulindwa na Kikwete , kwa Mbowe wewe ni mtu mdogo mithili ya Piritoni , kwa hiyo unapomjadili mtu huyu ambaye Serikali yako IMEMUOMBA RADHI KWA KUMSINGIZIA UGAIDI unapaswa kuwa makini mno !

Ninachokifahamu ni kwamba hukutumwa na mtu kushambulia Mbowe , bali ni kiherehere chako tu , hata hivyo hatutakunyamazia , hii ni kwa sababu hata ubunge wako si wa kuchaguliwa , japo uko bungeni lakini huna unayemwakilisha .

View attachment 2653197View attachment 2653198View attachment 2653199
Me nilikua namwangalia anavyotetema bungeni kaunda imembana mikono na tumbo,anatoka jasho hachangii hata mada wala kuelezea kifungu chochote cha hayo makubaliano,anapiga mikwara tu kwa Mbowe mwisho unasikia naunga hoja afu anakaa,mamaae hili bunge letu lichomwe tu na wabunge wakiwemo ndan
 
Mataifa tajiri yanakopa sembuse sisi ?!!!

Marekani ndio inayoongoza kwa MADENI.....

Tanzania ni taifa la wote....

Hiyo KATIBA yako ni mfu kama ile katiba hovyo ya mh.Jaji Warioba

#Tuko na DP World ,burdaaan
#MamaAnaupigaMwingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwny mijadala km hii punguza matumiz ya emoji tena ukiwa mtu mzima na timamu,elezea unachotakaa kusema emoji za makopa na kujichekesha unamuwekea nan,acha ushoga
 
Nape Nnauye , mwanaccm na Waziri wa Habari , umesikika Bungeni ukipiga porojo kuhusu Mbowe na Maridhiano badala ya kujadili kuuzwa kwa aibu kwa bandari za Tanzania .

Umefika Mbali sana kwa kusema kwamba wanaopinga ujinga wa kuuzwa kwa Bandari washughulikiwe , maana mbegu ikiwa ndogo iko siku itakua (VITISHO)

Hata hivyo nakutahadharisha kwamba Freeman Mbowe , mtu mwenye exposure ya kimataifa kuliko kiongozi yeyote wa Tanzania siyo fala , huyu hafanani na Lowassa uliyemtukana matusi ya nguoni na kumdhalilisha utakavyo kwa kulindwa na Kikwete , kwa Mbowe wewe ni mtu mdogo mithili ya Piritoni , kwa hiyo unapomjadili mtu huyu ambaye Serikali yako IMEMUOMBA RADHI KWA KUMSINGIZIA UGAIDI unapaswa kuwa makini mno !

Ninachokifahamu ni kwamba hukutumwa na mtu kushambulia Mbowe , bali ni kiherehere chako tu , hata hivyo hatutakunyamazia , hii ni kwa sababu hata ubunge wako si wa kuchaguliwa , japo uko bungeni lakini huna unayemwakilisha .

View attachment 2653197View attachment 2653198View attachment 2653199
Mbowe kapewa vidonge vyake kwa kusema uongo kama unaousema wewe sasa hivi.

. Bandari iliyouzwa ipi? Au zote za Tanzania?

Kuwa upinzani siyo maana yake siyo kuwa waongo.

Huu uongo wenu wa kichaga ndiyo maana mwamba wenu alikuwa anawanyoosha.

Nasikia Mbowe yupo Sweden, kaalikwa yale mashindano yao mapya nini?
 
..Katiba yetu ina mapungufu.

..Tulipaswa kuwa na Rais wa TANGANYIKA anayetuongoza na kulinda maslahi yetu ndani.

..Bandari ya Dsm si ya muungano, ni ya Tanganyika.

..Samia Suluhu na Makame Mbarawa ni Wazanzibar, lakini ndio wasimamizi wa kuuza bandari ya Watanganyika.

..Tanganyika ipewe serikali yake, au Katiba itamke ni mwiko Mzanzibari kuwa Raisi wa muungano.
Ndo mwisho wako wa kufikiri?
 
Back
Top Bottom