Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

MAMBO 50 KUHUSU MKEO
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo,
usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye
kuwa rafiki yako.
6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.
7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa,
mchangamkie.
8. Mkeo ni pande la mwili wako,
mstawishe.
9. Mkeo sio ibilisi, usimpige teke.
10. Mkeo sio mzuri tu kitandani,
mshirikishe katika kila jambo.
11. Mkeo sio adui yako, mshajiishe.
12. Mkeo sio kikaragosi, usikubali
akachezewa na watu.
13. Mkeo sio hasimu wako, usishindane
naye.
14. Mkeo ni mwanamke, mheshimu.
15. Mkeo sio mtu wa kawaida,
usimlinganishe na wengine.
16. Mkeo sio sahani ya kunawia,
usimdhalilishe.
17. Mkeo ni kama chombo laini,
shughulika naye kwa uangalifu.
18. Mkeo ni malkia maridhawa,
muadhimishe.
19. Mkeo sio bondia, usipigane naye.
20. Mkeo sio begi la mazoezi ya ngumi,
usimpige.
21. Mkeo sio mchezo, usimchezee.
22. Mkeo anahitaji kunyegeshwa,
msimbake.
23. Mkeo ni sumaku, nasa kwake.
24. Mkeo ndio gwiji wa mahabba, msifu.
25. Mkeo ni mtu muhimu, mpe taadhima.
26. Mkeo ndiye mkeo, mkubali.
27. Mkeo ndio mzinga wa asali yako,
mfukuzie.
28. Mkeo anahitaji taadhima yako,
usimuaibishe hadharani.
29. Mkeo sio kisu, ishi naye kwa wema.
30. Mkeo ni wa kipekee, usimdhihaki.
31. Mkeo ni mwenye kukuenzi, usimtilie
shaka.
32. Mkeo sio mpumbavu, sikiliza ushauri
wake.
33. Mkeo sio habithi, usimfanyie
uhabithi.
34. Mkeo ndio rafiki mwenye muamana,
mfanye kuwa rafikiyo.
35. Mkeo sio leso, usimtumie vibaya.
36. Mkeo sio mfanyakazi wako wa ndani,
msaidie jikoni.
37. Mkeo ni mwenye ashiki, usiache
kumuenzi.
38. Mkeo ni muhimu sana kwako,
usimtelekeze.
39. Mkeo ni malkia muadhama, usizozane
naye.
40. Mkeo ndio mmiliki wa kiti cha moyo
wako, msaidie akikalie vizuri
41. Mkeo ana akili, usimshushe thamani.
42. Mkeo ni jukumu lako, mhudumie.
43. Mkeo ndio wewe mwenyewe, usimtenge
kitandani.
44. Mkeo ni namba moja katika maisha
yako, mpe kipaumbele.
45. Mkeo ni hazina yako, ilinde na
uitunze.
46. Mkeo anahitaji usaidizi wako, msaidie.
47. Mkeo anahitaji umakini wako,
usimakinike kwenye T.V
48. Mkeo ni mwenye thamani, muongezee
thamani.
49. Mkeo ndio taji lako, usimuache.
50. Mkeo ndio Layla wako, uwe Majnun
wake.

Tuwapende wake zetu
Naweza kufanya yote isipokuwa na 36 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAMBO 50 KUHUSU MKEO
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo,
usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye
kuwa rafiki yako.
6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.
7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa,
mchangamkie.
8. Mkeo ni pande la mwili wako,
mstawishe.
9. Mkeo sio ibilisi, usimpige teke.
10. Mkeo sio mzuri tu kitandani,
mshirikishe katika kila jambo.
11. Mkeo sio adui yako, mshajiishe.
12. Mkeo sio kikaragosi, usikubali
akachezewa na watu.
13. Mkeo sio hasimu wako, usishindane
naye.
14. Mkeo ni mwanamke, mheshimu.
15. Mkeo sio mtu wa kawaida,
usimlinganishe na wengine.
16. Mkeo sio sahani ya kunawia,
usimdhalilishe.
17. Mkeo ni kama chombo laini,
shughulika naye kwa uangalifu.
18. Mkeo ni malkia maridhawa,
muadhimishe.
19. Mkeo sio bondia, usipigane naye.
20. Mkeo sio begi la mazoezi ya ngumi,
usimpige.
21. Mkeo sio mchezo, usimchezee.
22. Mkeo anahitaji kunyegeshwa,
msimbake.
23. Mkeo ni sumaku, nasa kwake.
24. Mkeo ndio gwiji wa mahabba, msifu.
25. Mkeo ni mtu muhimu, mpe taadhima.
26. Mkeo ndiye mkeo, mkubali.
27. Mkeo ndio mzinga wa asali yako,
mfukuzie.
28. Mkeo anahitaji taadhima yako,
usimuaibishe hadharani.
29. Mkeo sio kisu, ishi naye kwa wema.
30. Mkeo ni wa kipekee, usimdhihaki.
31. Mkeo ni mwenye kukuenzi, usimtilie
shaka.
32. Mkeo sio mpumbavu, sikiliza ushauri
wake.
33. Mkeo sio habithi, usimfanyie
uhabithi.
34. Mkeo ndio rafiki mwenye muamana,
mfanye kuwa rafikiyo.
35. Mkeo sio leso, usimtumie vibaya.
36. Mkeo sio mfanyakazi wako wa ndani,
msaidie jikoni.
37. Mkeo ni mwenye ashiki, usiache
kumuenzi.
38. Mkeo ni muhimu sana kwako,
usimtelekeze.
39. Mkeo ni malkia muadhama, usizozane
naye.
40. Mkeo ndio mmiliki wa kiti cha moyo
wako, msaidie akikalie vizuri
41. Mkeo ana akili, usimshushe thamani.
42. Mkeo ni jukumu lako, mhudumie.
43. Mkeo ndio wewe mwenyewe, usimtenge
kitandani.
44. Mkeo ni namba moja katika maisha
yako, mpe kipaumbele.
45. Mkeo ni hazina yako, ilinde na
uitunze.
46. Mkeo anahitaji usaidizi wako, msaidie.
47. Mkeo anahitaji umakini wako,
usimakinike kwenye T.V
48. Mkeo ni mwenye thamani, muongezee
thamani.
49. Mkeo ndio taji lako, usimuache.
50. Mkeo ndio Layla wako, uwe Majnun
wake.

Tuwapende wake zetu
Nimkumbusha Mume wangu maswala MUHIMU kuhusu Mie Mkewe. Asante 🙏
 
Umeandika vingi vizuri ila walio wengi wanataka yale ya Mke hapaswi kugusa simu yako, mke hapaswi kuuliza ukichelewa kurudi, Mke mmoja analemaza hivyo lazima uwe na mchepuko na mengine mengi yasiyojenga na hayo ndio wanapenda kuyasikia. Ila haya mmh.

Pia nikupongeze Mkuu sababu kwa wenye akili baadhi yatawafaa tena sana tu.
Hivi mnatumia kipimo gani kujua huyu ana akili na yule hana mpaka useme kwa wenye akili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom