Natumai mko gud sana wanajamvi, Leo nawaletea mambo 50 usiyajua kuhusu mkeo hasa kwa wale walio ktk ndoa tayar
Mambo hayo ni
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye kuwa rafiki yako.
6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.
7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa, mchangamkie.
8. Mkeo ni pande la mwili wako, mstawishe.
9. Mkeo sio ibilisi, usimpige teke.
10. Mkeo sio mzuri tu kitandani, mshirikishe katika kila
jambo.
Itaendeleo 10 mengne mpka yaishe