Nakukumbuka sana mdada.....

Nakukumbuka sana mdada.....

Mimi kwa jinsi nilivyo mpenda wangu. Niliweka nadhiri mbele ya halaa kifo akiwezi kututenganisha. Leo nipo nagaragara juu ya kaburi lake, nimelipamba maua tu. Kwa hakika nampenda

Pole sana na Muumba wetu atakuwa nawe tu.
 
duh ... .ni kweli kutembea ni kujifunza, kukutana na watu pia unapata nafasi ya kujifunza mengi na mengi zaidi...
 
Back
Top Bottom