Nakukumbuka sana mdada.....

Nakukumbuka sana mdada.....

Natamani kujua alikufa kwa ugonjwa gani? Sijui kwa nini

I can read your mind; unataka ujue kama na mleta mada aliambukizwa kilichomuua, maana umesha assume ni ugonjwa!!!!!!????????
Ameshasema it was car accident.
 
Mimi kwa jinsi nilivyo mpenda wangu. Niliweka nadhiri mbele ya halaa kifo akiwezi kututenganisha. Leo nipo nagaragara juu ya kaburi lake, nimelipamba maua tu. Kwa hakika nampenda

Pole sana....
 
duuh pole sana
wanawake wengi tunapenda siku hii ya leo
mimi sina cha kukumbuka,majanga matupu mkuu
hahahahhahaahahahahahahh umenchekesha sana aiseee mimi hii valentine naisikiaga tu nikiuliza naambiwa mi nshazeeka hayo ni mambo ya vijana hahaahahahahahahaah
 
blue g uzoefu unaonesha mtu huendwa zaidi anapotoka (hasa kufariki). Kwa zaidi ya miaka miwili bado nina funda moyoni na nimeshindwa kuanzisha mahusiano mapya.
na wewe ulifiwa lol wafiwa wengi aisee
 
alikua akijua mambo mengi sana ya town kuliko mimi, (mfano kama wa Lara 1 ivi).
hivi lara 1 mjanjanja sana.....ila JF inatuacha watu na maswali mengi ukute lara 1 mwenyewe tofauti ....hana mambo mengi wala nini
 
what a sad story,imenigusa sana,pole sana mkuu
 
Blue G uzoefu unaonesha mtu huendwa zaidi anapotoka (hasa kufariki). Kwa zaidi ya miaka miwili bado nina funda moyoni na nimeshindwa kuanzisha mahusiano mapya.

Pole sana ndg, ila pia ujitahidi kusahau na kuanza maisha mapya kwani huwezi kurekebisha aliloamua mungu.
 
hivi lara 1 mjanjanja sana.....ila JF inatuacha watu na maswali mengi ukute lara 1 mwenyewe tofauti ....hana mambo mengi wala nini

Katika watu ninaofikiria niwaone siku moja ni Lara 1... siajwai kupata picture yukoje.
 
Back
Top Bottom