bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
Jamani acheni kujichukulia sheria mkononi! Pumzika kwa amani ulipo jamaaa yangu Frank (R.I.P Frank Warioba).
Mwaka 2012 aliuawa jamaa yangu baada ya kupigiwa mbiu ya mwizi na mdeni wake tukio lilikuwa hivi:-
Frank(msela wangu) alikuwa anaishi tabata alikutana na jamaa mmoja wakaamua kuanzisha biashara ya butcher. Kama mjuavyo pesa haina ndugu yule jamaa akamdhulum (frank) pesa km million 2.
Katika harakati za kudaiana, yule jamaa alikuwa anakaa vingunguti siku ya tukio jamaa akamuita (frank) aende kuchukua pesa yake vingunguti kumbe kulikuwa kumefanyika wizi mtaani kwao hivyo jamaa akaandaa watu na kuwambia anamjua mwizi wa ujambazi huo atamuita akija wamshike na muadabisha.
Basi rafiki yangu(Frank) bila kujua hili wala lile akapokea simu ya jamaa akiomba afike vingunguti wakamalizane juu ya deni lao, jamaa(frank) akamuga mkewe alikuwa na mtoto mdogo akaelekea vingunguti ile kufika tu, ghafla yowe ya mwizi! Mwizi! (Frank) akawa anashangaa mara kipigo kikaanza alijaribu kujitetea kuwa yeye siyo mwizi hawakumsikia tena.
Mwisho akaanguka chini, wakamwambia tunakuchoma moto, wakamwambia awapigie simu ndugu zake, cha ajabu frank alikuwa ni mtoto pekee wa mama mjane na mzee anayeishi musoma mkoani Mara. Alimpigia simu mama yake akamwambia mama nauawa huku mwanao nimeambiwa ni mwizi jamaa wakanyanganya simu, wakamwagia petrol na kumchoma moto! Mama wa watu ni mjane na mzee fikiria ni mtoto pekee aliyekuwa naye, sababu ya umasikini ata hakupa pesa kuja kufuatilia msiba wa mtoto wake. R.I.P FRANK only God Will pay for you. Mpaka wasaa huu yule jamaa akushikwa wala nini ila kichaa anaokota makopo.
Huwa nikikumbuka naumia sana, nimekumbukia msiba wa maresearchers wa dodoma. FIKIRIA UCHUNGU ANAO UGUA MAMA YAKE FRANK. na NDUGU WA HAWA MARESERCHER.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120]