Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

Kale ka kisarawe katamtimba sumu
 
Ninavyojua mimi kuwa fukwe zote ni mali ya umma na kila raia ana haki ya kuzitembelea bila kizuio chochote pasipokuwa na sababu maalum ( kiusalama n.k.). Panatakiwa kuwa na mpango wa kuendeleza na kufungua maeneo yatakayokuwa kwa ajili ya wakazi wa Dar es Salaam. Hii ni pamoja na fukwe ( za bahari na mito) zote, bustani, maeneo ya wazi tu kwa ajili ya mikusanyiko ya watu. Hata makaburi yakitunzwa na kupangiliwa ni sehemu nzuri ya jamii kutembelea kuwakumbuka waliowatangulia. Watu maarufu wengi tuu wamezikwa kwenye kaburi la Kinondoni.

Amandla....
 
Serikali itapata wapi mapato? Utazoea tu
 
Kama kariakoo hakuna hata bustani uchwara ya kupumzika. Maeneo yote wameuza
Tafuta eneo kariakoo,Bomoa weka bustani yako

Kariakoo ni makazi ya watu,Mji ulipochangamka ndio wenyeji wanauza maeneo kwa matajiri wajenge maghorofa
 
Umekuja Dar lini?

Hapo kariakoo zilikuwa nyumba za watu za chini ,Ni makazi ya wenyeji tangu enzi

Huo mtaa wa livingstone na Msimbazi unao uona zilibomolewa nyumba za watu kuweka barabara na hao watu wengi walihamishiwa Temeke
 
Jf kuna chuki moja kubwa sana juu ya uislam..
Nilikuwa na marafiki wengi wa kikristo lakini kupitia jf ndo nimegundua namna gani huenda hata marafiki zangu wa chuki za siri bila mimi kujua.
Hii inapelekea kuanza kuwaepuka.
Kazungumza Chalamila mtu anatoa shutma kwa waislam.
 
Kwani hospital za Muhimbi na Amana ni mali ya nani?

Mbona zamani ilikuwa matibabu bure na leo tunachangia?

Hakuna cha bure mkuu?
 
Wewe ndiye unajishitukia, kobazi akili zenu mnazijua wenyewe, wazee wa elimu ahera huku mnaishi duniani mkisubiria mabikra 72. 😂😂😂😂😂😂
 
Hii nchi siyo ya kijamaa kama unavyofikiria ,Ujamaa ulishapingwa na kukataliwa enzi za Nyerere

Tangu watu waruhusiwe kufanya biashara na kulipa kodi kubwa kubwa ,Huduma zote za bure kama Afya zinachangiwa

Sasa Beach ni starehe ,Afya ni muhimu na unalipia

Mkoa unataka upate vyanzo vipya vya mapato toka wapi?
Daraja la kigamboni unalipia na linabeba mpaka wagonjwa,Huko beach unataka bure ambako ni starehe tu
 
Ule mbichwa wake unaakisi aina ya akili zake.

Chalamila is a comedian kila analofanya na kusema ni kwa ajili ya kuchekesha. Hana upeo wa kuchanganua jambo lolote.

Chalamila ni sawa na Mwijaku tu, kubwabwaja ovyo ili maisha yaende.
Ni wale maDJ wanaeka muziki utakaomfurahisha boss wake. Angekuwepo Magufuri ugemsikia Dj huyu huyu anatamka tofauti na sasa hivi
 
Nikikupuuza inatosha.
Ni kweli inatosha,ila kuwaza udini kwenye kila mada. Mtu anaweza ongelea Uislamu au Ukristu lakini katika nia ya kuleta chuki kwa dini hiyo. Tujifunze kuelewa wengine pasi kuhisi swala la udini.
 
Ni kweli inatosha,ila kuwaza udini kwenye kila mada. Mtu anaweza ongelea Uislamu au Ukristu lakini katika nia ya kuleta chuki kwa dini hiyo. Tujifunze kuelewa wengine pasi kuhisi swala la udini.
Narudia tena ngoja nikupuuze.
Nilicholaumu kwenye comment ya mtu alieleta udini ndo unachorudia tena.
 
Coco beach inatia kinyaa...
Imejaa wale bichiboi na matairi ya kuogelea na wauza ombaomba maana sio kwa kulazimishwa hivyo kununua mpaka muuzaji anakutolea shida zake ili ununue..
Ni uchafu mtupu pale, wacha wapaboreshe
Na wauza mihogo ni kipindupindu tupu...
Kuna bichi nyingi sana Dar es salaam, waende huko kuelekea Bagamoyo au huko kigamboni maporini, inakuwaje mtu anatoka Kigamboni au Kawe ili aje kokobichi kutembea kama sio vibaka......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…