Nakuja Moro wazee wa machimbo nafuu ya utafutaji

Nakuja Moro wazee wa machimbo nafuu ya utafutaji

TAXI42

Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
22
Reaction score
37
Hellow,

JF wadau wa Moro nakuja Moro wale ambao mmeiweka Moro kwenye kiganja ndio muda wa kuonyesha ungwaana, wana wa ukweli wanao jua machimbo ya utafutaji tuonane PM au hapahapa tupeane mikakati [emoji3] kama utakuwa mkakati wa private basi unaweza nifuata tukapeana Mipango.
 
Nenda samaki samaki kuanzia saa 6 usiku utapata unachokitaka
 
Nenda samaki samaki kuanzia saa 6 usiku utapata unachokitaka
Shida ni kwamba tunasoma zen hatuelewi mtu kaandika nini au unasoma mawazo yana safiri HUTAFAKARI haya mzee ntafika hapo[emoji120]
 
Back
Top Bottom