Nakuheshimu shemeji

Nakuheshimu shemeji

Baki na huo msimamo, ila kikubwa wanawake walio olewa wanapashwa kujiheshimu sio kujilrahisha kwa mashemeji..
watukane mashemeji zako halafu ukiniletea mrejesho wamekununia basi nitafuta kauli yangu
 
Ndio maana hata hawa wanaojipendekeza siwataki, hakuna kitu kibaya namla mke wa rafiki yangu na bado nafanya na mume wake biashara.
yani hapo biashara utaua kabisa na kupoteza mwelekeo aisee
 
dah...kwel mazoba ndo wapatao nafasi...tafuna tyu mkuu weka heshima kila mahali...ilimradi hujatupa ndoano kajileta mwenyewe.....
 
dah...kwel mazoba ndo wapatao nafasi...tafuna tyu mkuu weka heshima kila mahali...ilimradi hujatupa ndoano kajileta mwenyewe.....
huo uzoba unao uongelea ni upi? Ukiwa na mke mwenye tabia hizi ndio utawashukuru hawa mazoba na kuwaona ni watu. kwangu hii sio heshima ni kujidhalilisha
 
Mkuu ukitegeka jiandae kuliwa gOti.

kumbuka kale kamsemo "Muosha huoshwa"
 
Nimejisikia vibaya ila siwezi mweleza tu mumewe, natunza reputation ya wote.
pole sana shemeji kwa mtihani mkubwa .. kuletewa kwenye sahani na kusema hiki ni cha kaka yangu au rafiki yangu..HONGERA KUBWA MNO
 
Huyo shemeji yupo humu??

labda, labda yupo humu!
labda alitaka kumuandikia pm akapost uzi.
kwann asimpigie simu, sms, e_mail ... kumuweka hapa nikuanika utupu wa shemejiye.
ni Mazingira gani shemeji kadhaa kumuhitaji mtu mmoja, labda shida haipo kwa mashemeji bali kwa shemeji yao anayejenga mazingira.
 
pole sana shemeji kwa mtihani mkubwa .. kuletewa kwenye sahani na kusema hiki ni cha kaka yangu au rafiki yangu..HONGERA KUBWA MNO
Sio kila kiatu kinachokutosha ni halali kukivaa vingine ni vya watu wako wa karibu unanikisogeza tu pembeni unavaa chako.
 
labda, labda yupo humu!
labda alitaka kumuandikia pm akapost uzi.
kwann asimpigie simu, sms, e_mail ... kumuweka hapa nikuanika utupu wa shemejiye.
ni Mazingira gani shemeji kadhaa kumuhitaji mtu mmoja, labda shida haipo kwa mashemeji bali kwa shemeji yao anayejenga mazingira.
Inawezekana ninatatizo kweli, lakini kupitia hili tatizo langu nae atambue mimi kumsaidia mumewe sio ticket ya kunipa utupu wake. Ni bora ajiunze kuhshimu ndoa yake. Utupu wake sio kitumbua kila mtu akionje.
 
Kwa nini kwanza umzoee mke wa mtu. Ni tabia yako mbaya tu.
 
Inawezekana ninatatizo kweli, lakini kupitia hili tatizo langu nae atambue mimi kumsaidia mumewe sio ticket ya kunipa utupu wake. Ni bora ajiunze kuhshimu ndoa yake. Utupu wake sio kitumbua kila mtu akionje.

ungempa live!live! angeelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom