Nakuheshimu shemeji

Nakuheshimu shemeji

indelible

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
652
Reaction score
301
Habari,

Wanawake mlioolewa waheshimuni waume zenu, sio urafiki wangu na mumeo ni ticket ya kuniachia nifanye mapenzi na wewe. Wameshafikisha watatu sasa mpaka naanza kuona kale ka msemo ka kikulacho ki nguoni kalikaribia kunihusu.

Nashukuru Mungu nimeshinda hilo jaribu. Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kubaini mkewe amefanya mapenzi na rafiki yake na rafiki yake, ni mbaya sana. Hii hali hutokana na nini!? Au ni kule kuaminiana au ukaribu sielewi.

Mjirekebishe tafadhali
 
unanyota ya kuliwa tigo mkuu.. kaa mbali na papuchi za watu....


hii hali inatokana na ukahaba wa mashemeji zako
 
Habari!

Wanawake mlioolewa waheshimuni waume zenu, sio urafiki wangu na mumeo ni ticket ya kuniachia papuchi niifyatue.

Wameshafikisha watatu sasa mpaka naanza kuona kale ka msemo ka kikulacho ki nguoni kalikaribia kunihusu. Nashukuru Mungu nimeshinda hilo jaribu.

Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kubaini mkewe ametafunywa na rafiki yake, ni mbaya sana.

Hii hali hutokana na nini!? Au ni kule kuaminiana au ukaribu sielewi.

Mjirekebshe plz.

unanyota ya kuliwa tigo mkuu.. kaa mbali na papuchi za watu....


hii hali inatokana na ukahaba wa mashemeji zako

Huyu ndiye miss chagga. Ana nyota ya nini huyu mkuu...ha ha ha haaaa
 
Kweli kabisa ninanyota hii!!! ebu intake radhi tafadhali
mkuu we uoni wanao kula wake za watu wanafanywa nini? waambie shemeji zako wakutake radhi kwa kukuomba gegedo na kutaka kukusababishia kuliwa mkuu
 
mkuu we uoni wanao kula wake za watu wanafanywa nini? waambie shemeji zako wakutake radhi kwa kukuomba gegedo na kutaka kukusababishia kuliwa mkuu
hivi hizi computer hazina mahali nipite ili nikufikie hapo ulipo tuonge vizuri unieleze hii nyota nimeipataje?
 
Huyu ndiye miss chagga. Ana nyota ya nini huyu mkuu...ha ha ha haaaa
miss chagga nae ni shemeji kama walivyo wale wengine mshauri aniombe radhi haraka iwezekanavyo kabla sijamchukilia hatua za kinidhamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom