Nakubaliana na Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai lakini si katika yote aliyoyasema jana

Hii ndio mama tz wezi wa mabilion wanawachwa wanakazi ya kumfutilia mtu aliyosema neno tu thaifu kutishwa kupelekwa dodoma kwa pingu kufika dodoma kuzalilisha kwa kumsachi kama co vip kutamka kutokufanya naye na haitoshi aende kwa mkuu aombe rathi.na ajiuzulu kosa ya yote amewaita zaifu kunakitu kiko nyuma ya pazia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is this really you au simu yako imedukuliwa? 😁😁
 
Ndugai amejuaje kama CAG Assad anampa wakati mgumu rais ,kama hawajapanga ni nini? wanajiumbua wenyewe mchana kweupe .
 
Kwa mara ya kwanza nakupa 'like' mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichokielewa ni kuwa ndugai ni subwoofer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa aliyozungumza kweli alikuwa na ulazima wa kuitisha press??? Wanasheria ebu anzieni hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go to hell...mods hii ni mara yangu ya kwanza kusema hivi.Msinipe ban ila nataka nimjurishe huyu mwanasheria kua atofautifishe legality na legitimacy katika ili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…