Hii ndio mama tz wezi wa mabilion wanawachwa wanakazi ya kumfutilia mtu aliyosema neno tu thaifu kutishwa kupelekwa dodoma kwa pingu kufika dodoma kuzalilisha kwa kumsachi kama co vip kutamka kutokufanya naye na haitoshi aende kwa mkuu aombe rathi.na ajiuzulu kosa ya yote amewaita zaifu kunakitu kiko nyuma ya pazia hapaNilikua namsikiliza kwa umakini na kumsoma body language yake.. alipotamka hilo juu ya Rais ni kama kaelemewa sasa anahitaji msaada wa haya aliyofikiri wananchi hawatayafatilia.
Kumtaja Rais ni ameonyesha kwamba Rais ambaye tunaamini hana lolote katika hili kwamba yumo..
Inasikitisha kuona viongozi kama yeye anatumia mapaparazi kumfikishia CAG ujumbe wa kumtaka aende kwa Rais.. kwani hawaandikiani barua kiofisho hadi iwe anamrushia kama nenda huko akajieleze.. ya kitaka ajiudhuru.. yaani anasimamia sheria pia mbona hakutaja lolote!!!
Wakili nambie sasa hapa ni akajieleze nini eti? Ajiuzuru kwa lipi haswa? Kasema hataki kufanya nae kazi.. sasa si angekaa kimya.. haya mengine ya nini?
Ndio maana huwa nacheka pale ninapoona wengi hawajui kupanga.. hawafikirii dk 5 itakuwaje na waweje..
Sent using Jamii Forums mobile app