Nakubaliana na Rais Magufuli, kweli Watanzania wengi wanapenda sana udaku udaku.

Ushahidi gani unataka wewe! Acha kuandika pumba.

Mambo mengine yanachipuka na yanakuwa ni kama agenda kwa muda huo ukiuliza vizuri hata ushahidi hakuna ulokamilika so kumbe ni tuhuma tu.
Huu ni upuuzi na ni wapuuzi tu wanadili na udaku na matukio kila kukicha.
 
Ni kweli Watanzania walio wengi wanapenda sana udaku udaku haya ni mambo ambayo siyo muhimu kabisa katika kujitafutia maendeleo, hata mkipinga hapa huu ni ukweli.

Hata rais Magufuli naye anajua hili ndiyo maana alisema siku ya jumatatu uzinduzi wa ujenzi flyover ya Ubungo.
Namnukuu "Tumejielekeza mno katika masuala ya udaku ambayo hayatuongezei chochote, hayatusaidii chochote na ndio yanachukua muda wetu mwingi.

Zipo hata tafiti rasmi zinathibitisha hili moja ilihitimisha kuwa ni Watanzania wengi hawapendi kusoma vitabu na magazeti ya msingi lakini wanapendelea sana kusoma magazeti ya udaku hili hata ukifanya kauchunguzi kidogo tu utabaini kaulize muuza magazeti ni yapi yanaisha kwa haraka atakujibu udaku.
Mijadala mingi ni matukio, fulani kafanya hivi yule vile, yule siku hizi hasalimii anhaa si wajua kapata ajira!

Kiongozi akikosea na kama kweli ushahidi upo watu wenye akili timamu hawaishii tu kusema sema wanachukua hatua kumuwajibisha ili mambo mengine ya kimaendeleo yafanyike, mataifa yaloendelea ya dunia ya kwanza wamefankiwa na wanazidi kufanikiwa kwa kufanya hivyo.
Kila mtu inatakiwa awe na dira/malengo kwenye maisha yake, taasisi vilevile hata taifa pia lazima liwe na dira siyo kwenda kwenda tu hovyohovyo kwa kuyafanya matukio ndiyo agenda/dira.

"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people"
Ukiona hivyo na yy ni mdaku
 
Title itakuwa vema sana [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] rekebisha iwe
Nakubaliana na Rais Magufuli, kweli Watanzania wengi wanapenda sana udaku udaku, ujinga ujinga na upuuzi tu.
 
Ni kweli Watanzania walio wengi wanapenda sana udaku udaku haya ni mambo ambayo siyo muhimu kabisa katika kujitafutia maendeleo, hata mkipinga hapa huu ni ukweli.

Hata rais Magufuli naye anajua hili ndiyo maana alisema siku ya jumatatu uzinduzi wa ujenzi flyover ya Ubungo.
Namnukuu "Tumejielekeza mno katika masuala ya udaku ambayo hayatuongezei chochote, hayatusaidii chochote na ndio yanachukua muda wetu mwingi.

Zipo hata tafiti rasmi zinathibitisha hili moja ilihitimisha kuwa ni Watanzania wengi hawapendi kusoma vitabu na magazeti ya msingi lakini wanapendelea sana kusoma magazeti ya udaku hili hata ukifanya kauchunguzi kidogo tu utabaini kaulize muuza magazeti ni yapi yanaisha kwa haraka atakujibu udaku.
Mijadala mingi ni matukio, fulani kafanya hivi yule vile, yule siku hizi hasalimii anhaa si wajua kapata ajira!

Kiongozi akikosea na kama kweli ushahidi upo watu wenye akili timamu hawaishii tu kusema sema wanachukua hatua kumuwajibisha ili mambo mengine ya kimaendeleo yafanyike, mataifa yaloendelea ya dunia ya kwanza wamefankiwa na wanazidi kufanikiwa kwa kufanya hivyo.
Kila mtu inatakiwa awe na dira/malengo kwenye maisha yake, taasisi vilevile hata taifa pia lazima liwe na dira siyo kwenda kwenda tu hovyohovyo kwa kuyafanya matukio ndiyo agenda/dira.

"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people"

0a66d1decf9e9e376fa7be3c2df964af.jpg
 
Ni mtu asiyejitambua tu ndiye atakubaliana na kauli za huyu muongo na mnafiki mkubwa.
 
Ni upuuzi kufikiri kuwa taifa linaweza kupata maendeleo bila kubadilisha kwanza mindset za watu wa namna hii watawala wenyewe fikra zao zimekufa na hata raia vilevile tu mfumo wa elimu unahitaji mabadiliko makubwa tu sasa wengi wanasoma lakini hawajifunzi kitu.
CCM wengi ni wachumia tumbo, hata upinzani nao ni vilevile tu.
 
Magu mwenyewe mpanda Ubuyu na Udakuu...!! Anapiga mpaka simu kusifia Shilawaduuu...
 
Kama Unamzungumzia Magufuli huyuhuyu aliesema anapenda shilawadu basi hana tofauti na sisi, we are in the same boat.
 
Ni kweli Watanzania walio wengi wanapenda sana udaku udaku haya ni mambo ambayo siyo muhimu kabisa katika kujitafutia maendeleo, hata mkipinga hapa huu ni ukweli.

Hata rais Magufuli naye anajua hili ndiyo maana alisema siku ya jumatatu uzinduzi wa ujenzi flyover ya Ubungo.
Namnukuu "Tumejielekeza mno katika masuala ya udaku ambayo hayatuongezei chochote, hayatusaidii chochote na ndio yanachukua muda wetu mwingi.

Zipo hata tafiti rasmi zinathibitisha hili moja ilihitimisha kuwa ni Watanzania wengi hawapendi kusoma vitabu na magazeti ya msingi lakini wanapendelea sana kusoma magazeti ya udaku hili hata ukifanya kauchunguzi kidogo tu utabaini kaulize muuza magazeti ni yapi yanaisha kwa haraka atakujibu udaku.
Mijadala mingi ni matukio, fulani kafanya hivi yule vile, yule siku hizi hasalimii anhaa si wajua kapata ajira!

Kiongozi akikosea na kama kweli ushahidi upo watu wenye akili timamu hawaishii tu kusema sema wanachukua hatua kumuwajibisha ili mambo mengine ya kimaendeleo yafanyike, mataifa yaloendelea ya dunia ya kwanza wamefankiwa na wanazidi kufanikiwa kwa kufanya hivyo.
Kila mtu inatakiwa awe na dira/malengo kwenye maisha yake, taasisi vilevile hata taifa pia lazima liwe na dira siyo kwenda kwenda tu hovyohovyo kwa kuyafanya matukio ndiyo agenda/dira.

"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people"
Great minds zinajua watu gani na events gani zitatikisa jamii au kuangusha falme. Kalagabao (baki na ujinga wako).
 
Unapoandika jaribu kutafakari kwanza, huyo unaemuunga mkono mbona anashinda TV ameangalia "SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI"? mi ninavyojua umbea ni kwa wale wanaovaa madela, ni jambo la ajabu kuona mkuu wa kaya tena mwanaume nae anashadadia umbea tena katika kuongoza nchi
 
Ndiyo maana na wewe upo hapa, ni kweli usemayo.

Back
Top Bottom