Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Wewe na nani mnamwachia zitto?Mnyika hana jipya, anarukia hoja tu.
Tunamwachia Zitto aje kumjibu.
Ilimtaka I.G.P ampigie simu/apokee simu ya Dr Slaa,ikamtaka aandae risasi na mabomu ya kutosha na baada ya hapo waandae karamu ya kujipongeza kwa mauaji,kwa kua ni bora kufa kuliko kuendelea na manyanyaso ya polisi,pia alimtaka I.G.P wajiandae kwenda The Hague
...kauli ya Nchimbi kumshangaa Mwema kutomkamata Dr Slaa ...
Wewe na nani mnamwachia zitto?
Siasa zimewashinda mmeamua kutumia mtutu.
Yani chezeni sarakasi zote lakini safari hii tutawachomoa tuu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
Hata mjitetee vipi,polisi mumeua,damu hii itazaa Daudi Mwangosi milioni2.
Na Yule mwenyekiti wa CDM Arumeru
Haya .. wenye dhamana (wote wateule wa mtu mmoja) wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe hadharani!!! Kama siyo kiwewe ni nini?
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
Ndio wenyewe mmejiona wajanja hapo? kuuwana halafu kusingizia Polisi. Ya Morogoro mliona mmeikosea, hii mkahakikisha mnamsambaratisha.
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
Hata ulimboka alijipiga mwenyewe ha! Ha! Ha! Ha!
Zomba si bure utakuwa umesahau kunywa dawa zako za akili,kumbukuka ni kutwa mara mbili kinyume cha hapo lazima uandike uozo!Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
Zomba si bure utakuwa umesahau kunywa dawa zako za akili,kumbukuka ni kutwa mara mbili kinyume cha hapo lazima uandike uozo!
Wewe IQ yako ni chini ya ile ya kuku.
Mkuu Zomba habari,naona wewe ni mchapakazi hodari,maana saa kumi usiku tayari upo macho!lets back to the point,mbona kauli zako haziendani na za waziri wa wizara husika?au kauli zako wewe ni za chama hasa ile idara ya propaganda?
Ni kweli ni bora kunyamaza kuliko kutoa hoja zisizo na mashiko,makalio si mchezo