Nakuambiwa mabaya na mazuri ya tablets za THL

Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
874
662
Wakuu,samahani naomba kufahamu maelezo ya kina kihusu tablets za thl katika matumizi yake mbali na kusoma vp katika matumizi mengine ya sim iko vizur??hasa tach,,uwezo wake n,k,nataka kuichukua kulingana na mazingila yangu sipendi kuwa na sim mbili mbili,,
 
Back
Top Bottom