Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,211
- Thread starter
- #321
Tuite tuyapambe makazi yako.
Karibuni wadau.Hapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.
Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
View attachment 517350View attachment 517351View attachment 517352View attachment 517355
Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
Hii ni sehemu ya mwonekano wa mawe ya Tanga stone.Karibuni wadau.
Hii ni sehemu ya mwonekano wa mawe ya Tanga stone.
[emoji106]sasa kds inakuleteeni watalamu waliobobea kwenye maswala ya mawe(tanga stone)
sasa usikose kukutana na watalamu hawa kwa kuifanya nyumba yako kuwa na mvuto na muonekano wa kipekee