Au awaze anaendesha Tesla ya 2026 kwenye barabara za vikindu bila shida yoyoteAnza mazoezi mwili uchoke.
Ikifika saa 4 achana na simu pc tv
Zima taa nenda chumbani
Fumba macho waza WWIII wewe ndio steringi
Tumia pombe kama sehemu ya kupumzisha akili.Ukishapata msosi unagonga bia zako mbili au tatu.Unaenda kulala.Weekend yaendaje waungwana?
Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia
Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7.
Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa kipindi cha hivi karibuni mambo yameenda kombo!
Ilianza kidogo ila sasa imekuwa intense.
Usiku nachelewa kulala, mchana na yenyewe silali, mwili una choka kabisa, na macho yana kuwa yanauma ila hayafumbi kulala
Wataalamu nisaidieni, nini kimenipata?
Lazima usingizi uje. Hamna kuwaza madeni, viccoba, kodi, ada, mapenziAu awaze anaendesha Tesla ya 2026 kwenye barabara za vikindu bila shida yoyote
Pombe ndo hunifanya nisilale kabisaTumia pombe kama sehemu ya kupumzisha akili.Ukishapata msosi unagonga bia zako mbili au tatu.Unaenda kulala.
Ubongo wako unaitaji madini na yanapatikana kwenye bia.
Ila usifanye pombe kama ulevi.
Asante Kwa ushauri mkuuMawazo mengi , ama una uraibu wa pombe, sigsra, ugoro , majani ama tabia za kunywa chai, kahawa usiku acha !
Ukiona bado jianzishie ratiba ya mazoezi kila jion, mwili automalically utachoka na unapata usingizi !!!!
siku nikikoswa usingizi nitakuita kwenye ule uzi kama utakua macho tujichartishe,, karibu sana chamani 🥂😄Ushauri mbaya sana huu🤣
Ndiyo ishakuathiri ubongo mkuu,ubishi umeanza lini 🤨Sidhani mkuu, hii kitu ya kuchelewa kulala nimekuwa nayo since niko mdogo, na hata nikitumia simu bado nitalala tuu ku compensate for mda ulio potea.
tafuta mtu awe anakubembeleza usiku kabla ya kulala utanishukuru badae😎Sidhani mkuu, hii kitu ya kuchelewa kulala nimekuwa nayo since niko mdogo, na hata nikitumia simu bado nitalala tuu ku compensate for mda ulio potea.