Nakosa mke kisa dini

Nakosa mke kisa dini

Hapo kuna options
Either ubadili wewe dini jamii ikuone fala na wazazi wako wakuzingue
Au abadili yeye, atengewe na wazaz wake.
Au fungeni ya Bomani hapo atakaye kuwa ana wapenda atabaki na nyie.
Ila kwenye haya mahusiano lazma u lose some ili ku gain some
 
Back
Top Bottom