Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,648
- 2,930
Kama ni warangi badili tu dini ,hawaezi kukupa mtoto wao ukambadili dini kamweh!!!
Mpe mimba kwanza alafu ukajitumbulishe
Mkuu unacho takiwa kufanya weka mipango ya kumpa mimba mwanamke akisha pata mimba usiende kujitambulisha ukiona bado wanazingua mtoto akifika miaka kadhaa weka nyingine mwisho wataruhusu wenyeweduh je wakikataa pia itakuwaje mkuu ?
Hao ni wadini balaa.Huyu mchumba wangu tumekuwa pamoja katika mahusiano takirbani miaka miwili Ila tuna tofauti za kidini yeye Muslim Mimi ni CATHOLICs .Tulikuwa tumepanga mwaka huu tufunge pingu za maisha (ndoa) Ila tatizo amejarbu kughusia Hilo swala Kwa wazazi wake na kuwambia kuwa mimi ni dini tofauti wamekataa kabisa hawataki aolewe na mtu ambae sio dini Yake a
Wamemwambia kuwa watamtenga.
Wanasena mwanamke hana dini iila ikija wa kwao anataka kuolewa Wanakata duh!
Duh wakuu nifanyeje hawa WARANGI wanipe mke.
Naomba ushauri wenu wakuu namna ya kulisolve hili swala.
Ndo mtiti utakapoanzaduh je wakikataa pia itakuwaje mkuu ?
Hapo Wakikataa Atakuja Mwenyewe Tu Mkuu.duh je wakikataa pia itakuwaje mkuu ?
Kafungeni ndoa serekalini kama wote hamuezi kubadili dinisiwezi badili dini mkuu haiwezekani.
duh je wakikataa pia itakuwaje mkuu ?
Ulifanyaje mkuu?hili swala huwa linatesa watu wengi sana hata mimi mwanzo lilinisumbua lakin mwisho wa siku yalieleweka